Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
B2k Mnyama
B2k Mnyama
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Batwely Kinyunyu
Batwely Kinyunyu
Songwriter

Lyrics

Nafikilia magum nilio pata kipindi na haso
nafikilia wabaya ambao nawaona kwa macho
nafilia mazuri nilio fanya kipindi niko na wao
nafikilia kama ninge kufa watimize haja zao
mi nina sababu ya kusemaa
  asanteee
mi nina sababu ya kushukuru
  asante
mi nina sababu ya kukwimbia weee
asante
mi nina sababu ya kushukuru
    
sawa nilikuwa mzinzi na chiti
nilikuwa kahaba najisi
hadi home kwangu wali hisi napotea
sawa nilikuwa mzinzi na chiti
nilikuwa kahaba najisi
hadi home kwangu wali hisi napotea
asante mungu nimepata afadhari
magum yangu yamekwisha niendea mbali
asante mungu nimepata afadhari
mabaya yote yamekwisha niendea mbalii
Najua kuna siku nitakufa sawa
ila sio kwa matakwa yao
najua wana niombea mabaya
baba simama pigana nao
najua wana zunguka huko kwa waganga
we malizana nao
najua wana penda niishi kwa kupanga
huko nisha malizana nao
aaaaah niwewe tuu
  niwewe tu baba
unapanga niishi vipi
ni wewe tu baba
unajua mwisho wetu
aaaaah niwewe tuu
  niwewe tu baba
unapanga niishi vipi
ni wewe tu baba
unajua mwisho wetu
asante mungu nimepata afadhari
magum yangu yamekwisha niendea mbali
asante mungu nimepata afadhari
mabaya yote yamekwisha niendea mbalii
Written by: Batwely Kinyunyu
instagramSharePathic_arrow_out