Top Songs By Mkizer HBC
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mkizer HBC
Performer
Eddie Music
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Mkizer HBC
Songwriter
Eddie Music
Songwriter
Lyrics
Intro
Oooh Baby i wish you never never lemme go ooooh
And maybe never despair if you feel alone ooooh
For i will stay no matter what cost it takes
I just hope you do the same
I wish i wish you never never lemme go
Oky na wish unavyo ni post na makopa kopa
Niki kosea una samehe na hujachoka choka
Wakini sema unawa crash uki foka foka
Uendelee isije fika siku ukani choka
Vile Unanipa asali unani ongeza na tende
Unani post sana mbali hutaki niende
Basi isifike siku penzi likawa mizengwe
Ukaacha kuni post mimi ukani postia vijembe
Ukikosea si una niomba msamaha
Na mimi skunji wala na nakujua roho maa
Basi isifike siku ukikosea huoni na
Una anzisha vurugu na ugomvi kama tuko bar
unan chatisha mpka usiku
Husikii huoni kitu
Wana kwambiaga maneno kuhusu mimi kila siku
bado hujali kitu
Wanao kuletea vitu
Huwa sikii una wablock wanao piga simu usiku
I wish
Chorus
Oooh Baby i wish you never never lemme go ooooh
And maybe never despair if you feel alone ooooh
For i will stay no matter what cost it takes
I just hope you do the same
I wish i wish you never never lemme go
Verse 2
Unan kabidhi simu yako naikagua mpka ndani
Hujawahi maliza siku huja nitafta yani
Sasa isifike siku me nawe tukiwa ndani
Simu unaweka flight mode utasema umekuwa rubani
Umenipa jina zuri nalijua
Umen save na makopa mengi na maua
Unani sifu kila unapo kwenda natambua
Isfke siku ukasema Yule mbwa angeniua
Tunaj snap mpka nguo zetu sare
Usipo skia sauti yangu hutamani ulale
Wakisema tuta achana una jibu tuko palee
Isfike siku wakasema wale ubwa wale paleee
Kuna muda hutaki dawa unaniona mimi ndo tiba
Wana kubania home na unatoka tu kwa kuiba
Ume ahid ndoa nyenye msosy wa kushiba
Isije kosa harusi tukala wali wa msiba
Chorus
Oooh Baby i wish you never never lemme go ooooh
And maybe never despair if you feel alone ooooh
For i will stay no matter what cost it takes
I just hope you do the same
I wish i wish you never never lemme go
Written by: EDDIE MUZIC, Mkizer HBC