Music Video

Featured In

Lyrics

[Verse 1]
Sidanganyi mnapendeza na
Naona umejipata, umejipata
Anakuita honey mmefanana
Utasema mapacha, ooh mapacha
Ntajaribu kukusahau muendelee
Hata kama umenikosea nimekusamehe
Kumbukumbu kichwani ipotee
Labda na mimi nitapendwa one day
[PreChorus]
Kweli wivu ninao, na roho inauma
Japo najikaza japo ila mapenzi yanauma
Moyo umeondoka nao huruma hauna
Naona mmependana, bora nikae pembeni nisubiri wa kwangu
[Chorus]
One day yes, one day yes
One day yes, nitapata wa kwangu
One day yes, one day yes
One day yes, na mimi nitapendwa
[Verse 2]
Unavyonisema vibaya, hivi unadhani siskii
Unavyoposti kunikomoa, hivi unadhani sioni
Moyo umeretire kupenda kama hivi sirudii
Nilipanda mbegu ya upendo, nimevuna presssure na vipii
Najipa moyo jana na usiku
Haya maumivu yatageuka njozi
Najipa moyo itafika siku
Mtoto wa mtu atanifuta machozi
[Verse 3]
Nitajaribu kukusahau muendelee
Hata kama umenikosea nikusamehe
Kumbukumbu kichwani ipotee
Labda na mimi nitapendwa one day
[PreChorus]
Kweli wivu ninao, na roho inauma
Japo najikaza japo ila mapenzi yanauma
Moyo umeondoka nao huruma hauna
Naona mmependana, bora nikae pembeni nisubiri wa kwangu
[Chorus]
One day yes, one day yes
One day yes, nitapata wa kwangu
One day yes, one day yes
One day yes, na mimi nitapendwa
instagramSharePathic_arrow_out