Music Video

Centano ft Wyse - Sare sare (Only One)
Watch Centano ft Wyse -  Sare sare (Only One) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Centano
Centano
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Innocent Omary
Innocent Omary
Songwriter

Lyrics

Nikuite Habibt Sukari kwenye Chai,
Aah Mi amor vile umenikolea.
Mi kipofu laazizi usukani kwenye gari,
We ndo dereva nipeleke unakoelekea
Aaah aaah
Kukupata bahati moyo umeukita tii
I see nobody.
Sare sare maua
Nimejua kuchagua
Pekee yako unajua
Sina mwingine we unajua
Sare sare maua
Nimejua kuchagua
Pekee yako unajua
Sina mwingine ooh
Baby You are the only one
The only one
The only one
You are the only one
Ooh baby you are the only one
The only one
You are the only one
The only one
Ivi unajua mi hata nikilala
Huwa nakuota wewe
We unajua siwezagi kula
Mpaka nile na wewe.
Ivi unajua mwenzako nikinywa
Unamiminika wewe
We unajua ninavyokupenda
Hivi kwa nini
Umejaa moyoni
Umenipa nini
Umenipa nini
Hivi we mtu au jini
Mbona siamini
You are my number one
You are the only one
Sare sare maua
Nimejua kuchagua
Pekee yako unajua
Sina mwingine ooh
Baby You are the only one
The only one
The only one
You are the only one
Ooh baby you are the only one
The only one
You are the only one
The only one
Written by: Innocent Omary
instagramSharePathic_arrow_out