Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Passo Music
Passo Music
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mrisho Lisso
Mrisho Lisso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Click Master
Click Master
Producer

Lyrics

Oh yeah mhmm
Nawaimbia mapenzi au sio
Click master
Oh yeah oh yeaaa
Sijaona mwengine
Sijaona, sijaona
Wa kufanana na we
Sijaona kingine zaidi
Ya moyo wangu
Cha kukupa wewe
Mmmh
Najiuliza ulikuwaga wapi before
Walinitenda nusu kifo
Nusu kifo, hooo
We ndio umeituliza roho
Kwa kunipenda
Mpaka mwisho
Natamani siku
Zirudi nyuma
Tuanze upya
Tuanze upya
Natamani saa
Zirudi nyuma
Nikuone upya
Na siwezi juta
Kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Baby heee
Kuwa na wewe
Okay
Kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Nafsi nahisi inasita
Kukupoteza ndio naogopa
Mchumba nichum mwaah
Nahisi nafsi inakuita
Na moyo mmoja sio sita
Mchumba niko taabani
Ah my lover
Unapenda kususa na kujinunisha
Ila ukibembelezwa unajibebisha
Mhhh we ukiona pesa unajichekesha
Cha ajabu
Nikikupa unazirudisha
Natamani siku
Zirudi nyuma
Tuanze upya
Tuanze upya
Natamani saa
Zirudi nyuma
Nikuone upya
Na siwezi juta
Kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Baby heee
Kuwa na wewe
Kuwa nawe Okay
Kuwa na wewe
Kuwa na wewe heee
Kuwa na wewe
Kompa kompa kompa kompa
Wewe huku njoo
Kamix lizer
Mpaka kiitike
Written by: Mrisho Lisso
instagramSharePathic_arrow_out