Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Phina
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Songwriter
Sarah Michael Kitinga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vicky Pon Dis
Producer
Lyrics
[Intro]
Baby don't you leave me alone (Weo, weoo)
I will never leave you aloneĀ (Weo, weoo)
Baby don't you leave me alone (Weo, weoo)
I will never leave you alone (Weo, weoo)
[Verse 1]
Baby mi nikoo
Baby mi niko na wewe
Vyovyote viliitavyokuwa
Tambua mi niko na wewe
[Verse 2]
Kwenye haya mahangaikoo
Furaha na masikitikoo
Baby mi niko na wewe
Wee
[Verse 3]
Ntapita milima na mabonde iye iih
Alimradi nikuonee
Bahari, visiwa na maji yotee
Ilimradi nkuonee wewee
[Verse 4]
Na hata kama oko mbali nami
Elewa kwamba bado tuko wotee
Na cha kwangu ni chakoo
Ukinihitaji muda wowotee
[Chorus]
Penzi hili, ni kama lile la Romeo na Juliet
Penzi hili, ni kama lile la Romeo na Juliet
Hakunanga kile sitawezafanya
Hakunanga kile sitawezafanya
[Verse 5]
Usijegeuka fimbo, ukaniadhibu kwa penzi lako
Maumivu ya mapenzi unajua sijiwezii
Nkwagaranyonyo, nkwagaranyonyo
Nkwagaranyonyo, nkwagaranyonyo
[Verse 6]
Nkwagaranyonyo, nkwagaranyonyo
Mi nkwagaranyonyo, nkwagaranyonyo
[Chorus]
Penzi hili, ni kama lile la Romeo na Juliet
Penzi hili, ni kama lile la Romeo na Juliet
Hakunanga kile sitawezafanya
Hakunanga kile sitawezafanya
[Chorus]
Penzi hili, ni kama lile la Romeo na Juliet
Penzi hili, ni kama lile la Romeo na Juliet
Hakunanga kile sitawezafanya
Hakunanga kile sitawezafanya
Written by: Otile Brown, Sarah Michael Kitinga