Music Video

Ziddy Value Ft Platform _ Milele { Official Audio }
Watch Ziddy Value Ft Platform _ Milele { Official Audio } on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ziddy Value
Ziddy Value
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zidi Jamali
Zidi Jamali
Songwriter
Suleyman Salim Gao
Suleyman Salim Gao
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Baby sikia mapigo ya moyo wangu yanavyo kimbia
Baby ingia ndani ya moyo wangu basi tulia
Kama mapenzi safari okay basi twende mbali
[PreChorus]
Pembezoni mwa bahari huko tukaishi darling
Ka mapenzi safari baby basi twende mbali
Pembezoni mwa bahari huko tukaishi darilng
Baby, baby mwenzako ninacho taka
[Chorus]
Uwe wangu milele
Aah uwe wangu milele aah
Wangu milele
Aah uwe wangu milele
Uwe wangu milele
Aah uwe wangu milele aah
Wangu milele
Aah uwe wangu milele
[Verse 2]
Baby nikisema nakupenda
Wajibu baby (I love you too)
Kila siku za kalenda
Wajibu baby (I love you too)
[Verse 3]
Mi nawewe damu, damu
We ndo hawa mi ndo adam
Baby ufiche utamu
Achunge siwagawie
[PreChorus]
Mapenzi safari baby basi twende mbali
Pembezoni mwa bahari huko tukaishi Darling
Baby, baby mwenzako nnacho taka
[Chorus]
Uwe wangu milele, milele
Aah uwe wangu milele aah
Uwe wangu milele, milele
Aah uwe wangu milele
Uwe wangu milele, milele
Aah uwe wangu milele aah
Uwe wangu milele, milele
Aah uwe wangu milele
Written by: Suleyman Salim Gao, Zidi Jamali
instagramSharePathic_arrow_out