Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Daddy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Macho yangu yanatamani kukuona
Ila moyo umegomaa
Umecheza na hisia zangu
Kumbe si fungu nilichagua koroma aahh
Mi nashangaa macho yanatamani kukuona
Ingali mabaya yalishuhudia
[Verse 2]
Na kidogo nilichokua nacho ndo kilifanya ukanikimbia
Yani kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida naa
[PreChorus]
Si ungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu weeh
Maana uliyoyafanya sio yakawaida maa
Je ungeniua na cha roho kijiba naa
Nikajikokota uku nikimuomba Mungu wangu
Kutwa aniponyee
[Chorus]
Sio kwa ubayaa
Nimejiuguza na nimepona
Mmh wewe
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafaa
Nimejiuguza na nimeponaa
Uuh yeeh uuh!
[Verse 3]
Wenda uliwish nipitie mabaya
Moyo wako si umejenga chuki sawa (Sawa)
Changu kidege umeota mbawa
Haujaniuza bure bure umenigawa
[Verse 4]
Nenda utapata anaekupenda wenda utampenda babe haayaa
Mi kosa langu kukupenda ukaniona mwana kwenda haayaa
Nilivyoongeza upendo mabaya ulifanya dhahiri kwa vitendo
Kumbe ziro malengo kwangu ulifollow tendo
[Verse 5]
Zile baby-baby (We kumbe ulinizuga) tu baby
Yani kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida naa
[PreChorus]
Siungesema kama umeshiba mapenzi yangu, mapenzi yangu wee
Maana uliyoyafanya sio yakawaida maa
Je ungeniua na cha roho kijiba naa
Nikajikokota huku nikimuomba Mungu wangu
Kutwa aniponyee
[Chorus]
Sio kwa ubayaa aah yaah-yaah
Nimejiuguza na nimepona
Nimepona nimepona eeh
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafaa
Nimejiuguza na nimeponaa aah
Nimeponaa
[Outro]
Aah Chinga, Konde Music World Wide, yeah
Oohh lalah, oohh lalah nimeponaa aahh
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga