Music Video

Kusah - On Fire {Nakukunda} (Official Lyrics Video)
Watch Kusah - On Fire {Nakukunda} (Official Lyrics Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kusah
Kusah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cuckie Daddy
Cuckie Daddy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Kama ni ndumba baby umenifanya kama punda
Mzigo ninabeba na nadunda naenjoy
Walahi umenifunga mapigo ya moyo yananidunda
Kama ni sindano umenidunga mie hoi
[PreChorus]
Sanamu lako likajengwe posta ama
Niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama
Ama nifanyeje
[PreChorus]
Jamani penzi lake pombe nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya umenielewa
Ila kama hujui ndo utachelewa
[Chorus]
Aa uu nakukunda
Your love is on fire
Aaa uu nakukunda
Your love is on fire
[Verse 2]
Kati ya wote hao, namba moja mi nakuambia
Nimepita wote hao, ooh baby
Thamani yako we, thamani yako zaidi ya rupia
Hawakuwezi hao, ooh darling
Labda niikuambie kwamba, me nyoka umenivua gamba
Kwako naanzaje kutamba, sasa naanzaje baby we
[Verse 3]
Na venye unanivuta, nafsi inanisuta, mi unanikoshaga
Na kule unanivusha, nimeweka nukta mie nimefikaga
[PreChorus]
Sanamu lako likajengwe posta ama
Niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama
Ama nifanyeje
[PreChorus]
Jamani penzi lake pombe nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua hayo utanielewa
Ila kama hujui ndo utachelewa
[Chorus]
Aa uu nakukunda
Your love is on fire
Aa uu nakukunda
Your love is on fire
[Chorus]
Aa uu nakukunda
Your love is on fire
Aa uu nakukunda
Your love is on fire
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out