Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
CHI TZ
CHI TZ
Performer
Mwaisa Mtumbadi
Mwaisa Mtumbadi
Baglama
COMPOSITION & LYRICS
CHI TZ
CHI TZ
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ammy
Ammy
Producer

Lyrics

My city
Intro :
Tumetoka mbali sana mdogo wangu hatuwezi tutakkatia tamaa hapa ( never ) unakata tamaa mwaisa! Sio unyama mdogo wangu, safari hii mbaka mbengo zifunguke sema nguvu, nguvu za giza zishindwe mdogo wangu. Mbeya city!
Verse.1
Uh Malafyale Mbeya city
From the bottom to the ceiling
Si tumetokea chini
Now we winning now we winning.
We utanambia nini bana
Tushafanya mambo mengi sana
Yani mwanjelwa hadi karume tumeshapambana
Till now kila kona tunajulikana
Kuna wana nataka kuwachana
Talking wale wanao judge kwa navyo onekana
I\'m a young bag guy young ni** Osama
Anyways leo sitaki kuongea sana
Wanangu wa ilomba yote yana wezekana
Mtangulize Muumba kila kitu unacho fanya
Usichoke kumuomba tuendelee kupambana
( Usichoke kumuomba tuendelee )
Hook
My city my city, Mbeya city Mbeya city x 8
Verse 2.
Ughwe umenyeeeeeee
Vipandee, Matakapera au Mandee
Siku inayokua taratibu Sunday
Unachangia bajaji subiri wenzako wapande
Kwa mti mkavu mdogomdogo tukulya amapandee
Consciously so free,
Upendo kyala ametubariki
Bamalafyale hatukuzwi na ma ni**a manabii
Jongwe ukuti amalike jula jula gwijiii ..
Watu hawa nunulikii
Kaa wakikupa kitiii
City la wenye cityyyy
Zingine mbio za vijitii
Tujaribu bhulosi ndio findu fikiii
Kila kitu imana ya matoke ya bibii
Hawa sikulizi ukijifanya hawasikii
Wapenda vyakwetu ndo sisiii.
My city my city ( ndaagha )
My city my city , mbeya city mbeya city x 8
Outro
Mwaisa mtu mbad
Written by: CHI TZ
instagramSharePathic_arrow_out