Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msamiati
Msamiati
Performer
V Akademi
V Akademi
First Violin
COMPOSITION & LYRICS
Fredy Benny Mbetwa
Fredy Benny Mbetwa
Songwriter

Lyrics

Sheeeshh
Mabibi na mabwana
Karibuni kwenye show ya
Malafyalee, Malafyaleeee
Malafyalee, Malafyaleee
Malafyalee, Malafyaleee
Malafyaleee
Mweee mughonile bhandu bha kyala, uswee kukaja bhatwambililee
Tulile - ndagha mpijile
Kukajaaa - Kyala abhatule
Mweeeeee
Tukubhomba kanunu
Tunafanya Tununu
Amatingo - Fununu
Upendo, UDUMU
Tuli pa- m- pene
Akabhalilo kafwene
Nguvu ni wewe
Ziko ndani yako mwenyewe
Yeeeeaaah
Binadamu watu Yeeeah
Watu wa watu Yeeeaah
Kusikiliza ndio kuongea
Ukiuliza utopotea
Kabla ya kuomba unapokea
Wa kukaja we do care
Tutakuaga ukitembea
Mweee ubhaponyeee
Nkamu gwangu ubhaponyee
Mbosa ubhaponyee
Na mamaaa umponyeee Geeeeee
Malafyale
Malafyaleeee
Malafyale
Malafyaleee
Malafyale
 Malafyaleeee
 Malafyaleeeee
 Eeeeeh Aaaaseeee
Si abhandu bha kyala
Abhandu bha - Kyala
Abhandu bha kyala
Abhandu bha - Kyala
Si abhandu bha kyala
Abhandu bha - Kyala
Watoto wa Mungu
Watoto wa Mungu
Bibi titi mohamed
Bibi titi mohamed
Bibi titi mohamed
Bibi titi mohamed x 2
Bibi titi x 3 mohamed x 3
Bibi titi - mohamed x 2
Yee
Ndivyo nilifunzwa na mama, chochote ninachotaka nisiogope niwe
Tunaishi ndoto zetu kama kuna kitu, bidii zetu zilaumiwe
Kakimbia na mimba na ndoa ikafungwa wasijue kuwa baba ndio mie
Kanifunza heshima thamani ya waliochagua kusota na sie
Tujhobe fikii Ifindu fingi havielezeki
Mambo mengine hayabebekii
Abhandu bha Kyala hatusomeki
Hatulogeki
Watoto wa Mungu
Tumenyee ridhiki mafungu
Ndio tufikile mwee tubhuke kughuu
Tukupijaa abha bhakukupija majunguuu Yee
Damu haitufanyi nduguu Yee
Kunjini wakulonda mashundu Yee
Kumwanya mweeee tubhuke kughu Yee
Ifi ngujhoba Usunguu Yee
Naachia kibao inakua habari
Napiga bao Mbeya wanasali
Ni kama bao hesabu alali
Kote vibao mbwa wakali
Elewa tulipo upepo mkali
Lamata leah Jua kali
Mtiziman Mimagarii
Amaso nguketa Kutali
Bibi titi mohamed
Bibi titi mohamed
Bibi titi mohamed
Bibi titi mohamed
Bibi titi x 3 mohamed
Bibi titi - mohamed
Written by: Fredy Benny Mbetwa
instagramSharePathic_arrow_out