Music Video

Mathias Walichupa - Mwema [Official Lyric Audio]
Watch Mathias Walichupa - Mwema [Official Lyric Audio] on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Songwriter

Lyrics

Ooh, na-na-na-na-na-naaa
BWANA, Wewe ni mwema
BWANA, Wewe ni mwema
Ooh BWANA, ah Wewe ni mwema
Ooh BWANA Wewe, BWANA Wewe ni mwema
BWANA, Wewe ni mwema
BWANA, Wewe ni mwema (BWANA Wewe ni mwema)
BWANA, Wewe ni mwema (ouwo, We ni mwema)
BWANA, Wewe ni mwema (tena BWANA Wewe waweza, BWANA)
BWANA, Wewe waweza (Wewe waweza, BWANA Wewe waweza)
BWANA, Wewe waweza (kutenda mambo makuu)
BWANA, Wewe waweza (Wewe waweza)
BWANA, Wewe waweza
Nikihesabu hatua, za maisha
Yangu naona kweli
Wewe BWANA, ni mwema
Nani angeifuta aibu, huzuni niliyokuwa nayo
Kweli We BWANA, ni mwema, BWANA ni mwema
BWANA, Wewe ni mwema (I glorify your name)
BWANA, Wewe ni mwema (ulionekana dakika ya mwisho)
BWANA, Wewe ni mwema (nilipochoka, nilipokata tamaa)
BWANA, Wewe ni mwema (ndipo nikaamini, wewe waweza)
BWANA, Wewe waweza (Wewe waweza)
BWANA, Wewe waweza (Wewe waweza, BWANA)
BWANA, Wewe waweza (waweza)
BWANA, Wewe waweza
Hesabu za mambo, uliyotenda
Hazielezeki, hazielezeki
Upendo wako, ni wa ajabu
Hauelezeki, hauelezeki
Hesabu za mambo, uliyotenda
Hazielezeki, hazielezeki
Upendo wako, ni wa ajabu
Hauelezeki, hauelezeki, kweli We ni mwema
BWANA, Wewe ni mwema (kweli Wewe mwema)
BWANA, Wewe ni mwema (asante kwa yote umefanya)
BWANA, Wewe ni mwema (We ni mwema)
BWANA, Wewe ni mwema (kweli hakuna jambo usiloweza)
BWANA, Wewe waweza (nakuamini BWANA)
BWANA, Wewe waweza (Wewe waweza waweza)
BWANA, Wewe waweza (hata liwe gumu, lakushindikana kwa wote)
Naamini, Wewe waweza
Oh-na-na-na, iye iyee
Oh-na-na-na-na
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out