Top Songs By Msamiati
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Msamiati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fredy Benny Mbetwa
Songwriter
Ibrahim Nampunga
Songwriter
julius ndoroma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wizzo808
Producer
Lyrics
Amen
Uuuh uuuh uuuuh yeaah yeaaah
Chinga on this one
Wizzo
Mmh Chinga Chinga in this one
Oooh
Yeeeah
Yeeeaaah
Yeeah eeh eeeeh
Verse 1
Eeh Kama kuparty sawa kula bata
Ila usisahau na kutoa sadaka
Life tunakwenda haturudi yeah
Kama kupata sawa ushajipata
Usiwasahau ndugu zako chaka
Kama hawakutenda ya makusudi yeah
Riziki popote
Tutafute wacheke
Usichoke
Si unajua life ni maseke
Pamba ooh pigana dunia haina mwenyeji
Chorus
Sema Amen
Amen
Mshukuru Mungu
Amen
Mengi katuvusha mengi katuvusha papa God
oooh aah
Verse 2
Eeh
Waza
Ughwe umenyeee
Waza
Ndugu waza
Ndugu usisahau kuwaza
Ndagha
Waza
Jua duniani kuna wa mwisho na wa kwanza
Usiwaze maisha yako yatakushangaza
Maana unapitia mengi na unajikaza
Waza
Chunga tu isiwe ujinga utachokiwaza
Makubwa hayaji kirahisi bila kukaza
Ufundishe moyo wako pia kukataza
Shida zako sio kitu cha kutangaza
Bila Mungu tungekua wapi - Wapi
Mshukuru kakufanyia mangapi - Ngapi
Wote tunahitaji kuwa happy
Waliniombea mabaya nimeshinda kiko wapi - Wapi
Marafikiii ndio wamekua ndugu
Tulipamopene na wana
Nimekua anavyotaka Mungu
Yumuka kuchele
Riziki popote
Tutafute wacheke
Usichoke
Si unajua life ni maseke
Pamba ooh pigana dunia haina mwenyeji
Chorus
Sema Amen
Amen
Shukuru Mungu
Amen
Mengi katuvusha mengi katuvusha papa God oooh aah
Outro
Sema ameni
Mshukuru Mungu
Mengi katuvusha
Chinga
Konde Music world wide
Yeah yeeeeeh
Kamix Laizer
Written by: Fredy Benny Mbetwa, Ibrahim Nampunga, julius ndoroma