Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lody Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Alawi Omary Alawi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mozee vibe
Producer
Lyrics
Nilimpenda jamani,
Wakamuiba Mpenzi...
Hapatikani hewani,
inaniumiza Kishenzi....
Nilizama nilizamaaa,
Katika Mapenzi yake oooh Kila nikijitazama. Moyoni nahuzunika
Ni matusi na Lawama,
Kutoka kwa ndugu zakee ooh Kila siku kulalama. Moyoni nahuzunika
Oooh! Babe nataka urudiiii
(Ooooh tuyajenge Mapenzi)
Tusahihishe nilipokosea,
(Ooooh tuyajenge Mapenzi)
Babe wangu weeeeweeee
(Ooooh tuyajenge Mapenzi)
Nikusamehe ulipokosea
Mooyoniiii Nilidhani Napendwa Kumbe,
Machozi yanatoka Nkisoma ujumbe....
Moyo umeshakupenda mwenzangu ila kama haunitaki Neendaa...
Siamini Leo Unanitenda Mwenzangu ila Naamini yupo wa Kunipendaa....
Wenzangu Nawauliza,
NIni dawa ya Mapenziiiiii
Waganga Nimemalizaa
Wa vikombe Na Hirizi
Babe nataka urudiiiii
(Ooooh tuyajenge Mapenzi)
Mwenzako niko hoi utaniuwaaa
(Ooooh tuyajenge Mapenzi)
Babe weee nataka urudi
(Oooooh tuyajenge Mapenzi)
Ma bebe ee urudi basi
(Ooooh tuyajenge Mapenzi)
Written by: Alawi Omary Alawi