album cover
Wanawake
3,865
R&B/Soul
Wanawake was released on January 23, 2024 by DIRECTOR SAM as a part of the album Wanawake - Single
album cover
Release DateJanuary 23, 2024
LabelDIRECTOR SAM
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
DreyGon
DreyGon
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juma Athuman Mukamba
Juma Athuman Mukamba
Songwriter

Lyrics

Mmmm..mmm..Mh!
Call me DREYGON
Kwa ulivyopendwa tuliona,
Kaka usijisumbue,
Kulialia umeachwa,
Upendo uliharibu wenyewe,
Sasa nani alaumiwe, wewe ama ni yeye,
Ulioanzisha kwa kucheat
Ye anaozwa mazima,
Bridge ::
Amejazwa mimba mwenzako,
We jaza majungu kwa status zako,
Na anazipita mwenzako Hana hata muda na mambo Yako,
Na unaugua unaugua,
Chakula hakitaki kupita,
Unaumia unaumia, Ex wako anazidi kunenepa,
Ahh!
Wanawake, hawachezewi!
Wakipendwa wanatulia hakunaga ndumba my bro! X2
Vs2:
Oooouoooo!! Mmmmhh! Ooooooh mmmh! Weh !
Umeshindwa kumlisha twiga ale majani akashiba
Umeshindwa mfikisha we kama swala kwa Simba..
Hajafata pesa, alichofata ni furaha Tu, wewe hukumpa!
Kila siku ni vituko!
  Bridge ::
Amejazwa mimba mwenzako,
We jaza majungu kwa status zako,
Na anazipita mwenzako Hana hata muda na mambo Yako,
Na unaugua unaugua,
Chakula hakitaki kupita,
Unaumia unaumia, Ex wako anazidi kunenepa,
Chorus:
Ahh!
Wanawake, hawachezewi!
Wakipendwa wanatulia hakunaga ndumba my bro.x2
Written by: Juma Athuman Mukamba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...