Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Feza K
Feza K
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdu Hamid Said
Abdu Hamid Said
Songwriter

Lyrics

Imekuwa kama movie me na we hadi tumekuwa pamoja eeeh
Bila kuskiza miruzi ya majirani na mashoga zangu eeeh
Nilipata vi Some News kuhusu wewe Vikanitia Uwoga eh
Habari Za kutisha tisha Ningeziendekeza Ningechachisha Mboga
Ningejaji kitabu bila kusoma ndani pengine hayaa yote nisengeyaona
Tangu dereva nkukabidhi usukani
Unavyoendesha sijapata ona eh
Yale machungu nliyopitia
Umenifanya nipoteze kumbukumbu
Na sina tena idea nimesahau nilipotoka
Eeh Asa Ukitaka kunichuna njoo nikupe kisu na mapanga
Eh Ama ukitaka kuniroga sema nikupe namba za waganga
Baby baby unanifanyia maunyama
Baby baby ndio maana kwako nimekwama
Baby baby unanifanyia maunyama
Baby baby ndio maana kwako nimekwama
Eh Kuna wazushi Walinambia Unangoma
Nikawajibu Ntaiskiza Kila Kona
Nachokupenda Kwenye penzi Hauna formula
Unakichafua Hadi kipofu Anaona Noma
Somebody told meeee
Umeni verify
Kwanza Uko low key
Nakuzimia my Geee
Navyokwambia sijutii toka tujuane
napenda penzi na sio money
Ndo maana ukija home usiku wa manane
Nachukua tango tukatiane
Eeh Asa Ukitaka kunichuna njoo nikupe kisu na mapanga
Eh Ama ukitaka kuniroga sema nikupe namba za waganga
Baby baby unanifanyia maunyama
Baby baby ndio maana kwako nimekwama
Baby baby unanifanyia maunyama
Baby baby ndio maana kwako nimekwama
Written by: Abdu Hamid Said
instagramSharePathic_arrow_out