Top Songs By Edu Boy
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Edu Boy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Edward Edward
Songwriter
Lyrics
Wanaume hatukati tamaa tunakata shanga,
Usinitishie kuroga me mwenyewe mtoto wa Mwanza,
Mziki nidhamu Hilo inajulikana,
Sasa mbona wengine wametoka Kwa kutukana?
Muziki sio nidhamu tuu ngoja nikupe Fact,
Ukikosea ubunifu tuu umekosea masharti pia Kuna Bahati,
Kwenda na wakati ndio maana wengi wamepotea Rais nimebaki..
Una bifu na Diamond Sorry kama nakosea,
Maana siku hizi hatuoni collabo zikiendelea,
Au mafahari wawili ndio hawakai zizi Moja ,
Mnatutia mashaka hatuoni tena umoja
Wee dogo una umri Gani tuulizane kwanza miaka,
Ukileta za kuleta huu wimbo utaishia hapa,
Hii ni sauti ya mamlaka sio kila mtu anaipata,
Eti unafuga njiwa nje na ndani una Paka
Chorus:
Unaionaje game ya Sasa
Game Haina jipya
Vipi ma rappa wa kisasa wote hamna jipya,
Na Bongo movie jee,
Wote hamna jipya vya kufanya vipo vingi kizazi hakina maarifa
U star ndio ulifanya Young Dee akawa Teja,
U star ndio ulifanya sugu akawa muheshimiwa,
U star ndio unafanya vijana wa mjini wanamegwa,
U star ndio unafanya kulelewa inakuwa shega
Tatizo mnakurupuka na hayo madawa mnayovuta,
Mnaliwa kama nyama kwenye Butcher mnakumbuka shuka tayari kumeshakucha,
Masanja me nampa tuzo ya mwinjiristi Bora,
Labda comedy ila mbele ya Joti Holla,
Kwenye michezo karata yangu nampa Simba,
Labda michezo ya Chumbani uwanjani Yanga anashinda,
Basata wametoa mikopo mnawekeza kwenye mazao,
hao ni Bongo movie na hizo ndio akili zao,
Wee sii Rais wa kitaa naomba hata Ubunge,
Mimi nikikupa Ubunge kwanza lazima wakufunge
Written by: Edward Edward