Music Video

Diamond Platnumz - Pamela (Official Audio)
Watch Diamond Platnumz - Pamela (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Killer
Young Killer
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Young Killer
Young Killer
Songwriter
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
Eriki Msodoki
Eriki Msodoki
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Siraju Khamis Amani
Siraju Khamis Amani
Producer

Lyrics

Kwanza kako sexy (Pamela!), kiuno kama kazaliwa Congo
Ebu ni ka date (Pamela!), mikogo kama samaki kamongo
Chumbani ni karate (Pamela!), vurugu kama show za Manfongo
Navopenda deki (Pamela!), ulimi shingoni mpaka kwa mgongo
Katoto katamu-tam kanapenda pipi na chewing gum
Kimoko nacum-cum, kitanda kwichikwichi ni bum-bum
Oh najua maana ya penzi burudani, na ndio maana nakupa kokote, singoji mpaka kitandani
Aah yeah! (Pamela!), ooh! Oh! Oh! (Pamela!)
She is hotter than fire (Pamela!), ukimuona utagwaya (Pamela!)
Zigo lazima ntafire (Pamela!), na kapenda ile mbaya (Pamela!)
Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh! (Pamela!)
Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh!
Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh! (Pamela!)
Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh!
Nilikutana nako Mbagala, kwa kina Lufufu Mkandala
Mtoto mwali kidandala, mtamu kwa nguna na sangala
Ooh naa! Anavyopose mchokozi, nikiwa namwaga dose
Napocheza na ngozi hunikosi (Pamela!), mpaka majonzi kwa njozi
Utamu kwa utosi, sinaga ubitozi ni konzi (Pamela!)
Oh najua maana ya penzi burudani (Ooh! oh!), na ndio maana nakupa kokote singoji mpaka kitandani
Eeh yeah! Pamela!(Pamelaa), ooh! Oh! Oh! (Pamela)
She is hotter than fire (Pamela!), ukimuona utagwaya (Pamela!)
Zigo lazima ntafire (Pamela!), na kapenda ile mbaya (Pamela!)
Mwenye mdomo wa kulamba koni, napozi za picha, na moyoni nimekuficha
Picha ya mapicha-picha wazushi wanayonipa-nipa hayaumizi kichwa-kichwa wala kunitisha
Usije nikatisha mood (Mood) kwa kufanya kusudi (Kusudi), ukaanza tena usiku na mchana ma nenda rudi (Rudi mama)
Kifuani sita tumbo hauna, na ukikatika ndio kabisa Naumwa (Heheheh)
Njoo tucheze kibaku baku (Pamela!), tuwakomeshe manyaku nyaku (Pamela!), ukate taratibu yani nyatu nyatu (Pamela!)
Kitandani unimeze ile kichatu chatu, sikufichi namiss kumuchezo kako kila mara
Ndio maana huwa napita pekupeku bila ndala, show ndefu kwa body nang'ara-ng'ara, navuruga shape mwisho unabaki unagaragara
Eeh Eh! (Pamelaa!)
She is hotter than fire (Pamela!), ukimuona utagwaya (Pamela!)
Zigo lazima ntafire (Pamela!), na kapenda ile mbaya (Pamela!)
Written by: Diamond Platnumz, Eriki Msodoki, Young Killer
instagramSharePathic_arrow_out