Top Songs By Mavoice 01

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mavoice 01
Mavoice 01
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mavoice Abdul
Mavoice Abdul
Songwriter

Lyrics

Kiitikio
Njooni Tuleewee tuleweeee Tuyapunguze Mawaaazoo
Tulewee tuleweeee Tuyapunguze mawazoo ×4
                 Ubeti wa kwanza
Sio Kila Anakunywa Pombeee .
Anakunywa Kwa Starehe.
Wengine Tunapunguza mawazo.
Wengi Tunateswa Namapenziii.
Wapenzi wetu hawaeleweki.
Wengi tunacheka Husoni Moyoni Tunalia.
                      HUK
Jikaze Usijinyongee Njoo Ushushie Nabia.
Jichanganye Na washikaji Acha Kufikiliaa.
Kama Hakupendi Usifosi Utatumia.
Piga moyokonde Nausemee.
Yupo Wakufanya nawe.
Ikibidi wapigie Rafiki Zako.
usilewe ukiwa peke Yako.
Waambieeee
                Kiitikio
Njooni Tulewee Tulewee Tuyapunguze mawazoo
Tulewe tuleweeee Tuyapunguze mawazoo×2
            Ubeti Wa Pili
Japo Nikweli Si Huongo
Kua single Kuna Raha Yake
 Ila Mungu Aliumba Kila Mtu Na wakee
                 HUK
Jichanganye Na washikaji Acha Kufikiliaa.
Kama Hakupendi Usifosi Utatumia.
Piga moyokonde Nausemee.
Yupo Wakufanya nawe.
Ikibidi wapigie Rafiki Zako.
usilewe ukiwa peke Yako.
Waambieeee
                Kiitikio
Njooni Tulewee Tulewee Tuyapunguze mawazoo
Tulewe tuleweeee Tuyapunguze mawazoo×2
Written by: Mavoice Abdul
instagramSharePathic_arrow_out