Lyrics

Oooh oh ooh oooh
 Is another one
Oooh oh ooh oooh
It\'s Kanibal
 Kuna wanangu washaopoa kwa gari za kuazima
Lunya hajajenga mnyamwezi kavuta chuma
Twaah anayo ndinga muuh yuko nyuma nyuma
Likikata wese huwaga wanaisukuma
Gari ya Ay Sallam Sk Mwanafalsafa Ommydimpo gari za bei
Mobetto gari safi Car ya Nenga na Ney
Huwezi kosa maokoto kwenye gari ya vunjabei
Marioo fundi hata kabla hajaimiliki
Gari ya Rayvanny nguo nyingi na ya Jux
Babalevo akiwa na gari wiki kaibet
Gari ya dicksound eti haina muziki
Nishachoka kutembea kwa ngoko
Kuombaomba lift wana kwenye mitoko
Na ndo maana nazisaka kila chocho
Nikipata kibunda niagize mkoko
Oooh oh ooh oooh
Nitavimba nikipata chuma
Oooh oh ooh oooh
Nikipata mkoko
Oooh oh ooh oooh
Nitavimba nikipata chuma eenh
Oooh oh ooh oooh
Sio tena local
Dullamakabila ashawahi nipa lifti
Alafu akanishusha ili apandishe mabinti
Gari ya Chibu inakuaga full tank
Mwanangu gari ya Gigy haikosi lipstick
Gari ya Kontawa bana
Simuoni nayo sana ila nahisi anaiendesha Zee cuty
Gari ya Kondeboy
Inafuka moshi ndani wapigie zimamoto na police
Gari ya Zuchu ukiazima huipati
Gari ya Kiba inanukia marashi
Gari ya Mbosso haikamatwi na traffic
Ukipanda gari ya Whozu kwenye msosi atapaki
Nishachoka kutembea kwa ngoko
Kuombaomba lift wana kwenye mitoko
Na ndo maana nazisaka kila chocho
Nikipata kibunda niagize mkoko
Oooh oh ooh oooh
Nitavimba nikipata chuma
Oooh oh ooh oooh
Nikipata mkoko
Oooh oh ooh oooh
Nitavimba nikipata chuma eenh
Gari ya Bingwa Gari ya Super
Gari ya Cutting master
Gari ya Aslay Gari ya Beka
Gari ya Jembe my Gwan
Written by: ALISTIDES HERMAN
instagramSharePathic_arrow_out