Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Asia Utamu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Asia Utamu
Composer
Thabit Abdul
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Thabit Abdul
Producer
Lyrics
Ooooohhh aaaaaaaahhhhh
Kila kukicha afadhali ya janaaa
Nachukiaa nafsii yanguuuuu
Usiku kwangu nauona mchanaaa
Nalia na nafsi yanguuuuu
Thamani ya penzi sina nipeni pole wenzanguu
Nilichokipata sina zaidi ya maumivuuuu
Kama mapenzi nampaaa kwa mada autakaoooooh
Kama malezi sisemiii kwa jinsi nimleavyoooohh
Nahisi nimependa mwezenu pale pasipo pendekaaa
Nahaki ya kukonda mimi ohh Mwenyewe nimeyatakaaa
Nahisi nimependa mwezenu pale pasipo pendekaaa
Nahaki ya kukonda mimi ohh Mwenyewe nimeyatakaaa
Heshima niliilinda kwa kila aliye nitakaaaaa
Mwezangu nilimpenda lakini sikuthaminikaaaa
Heshima niliilinda kwa kila aliye nitakaaaaa
Mwezangu nilimpenda lakini sikuthaminikaaaaaaa
Najiuliza ninakasoro gani jibu halipatikaniii
Nisichoweza nini jamani nini uyu bwana ana niniiii
Najiuliza ninakasoro gani jibu halipatikaniii
Nisichoweza nini jamani nini uyu bwana ana niniiii
Hawa thabiti,Rathia thabiti wapi Afsa Thabiti
Heshima ya pendo iko wapiii nazidi mwezenu kudhalilikaaaa
Maisha nayaona mafupiii kwamitihanii inayonikutaaaa
Heshima ya pendo iko wapiii Asia Utamu nadhalilikaaaa
Maisha nayaona mafupiii kwamitihanii inayonikutaaaa
Nilichokesea kipiiiiii,Mpaka natesekaaaa mieee
Au niko tofautiiiii na hao anaowapata yeyee
Nilichokesea kiiipiiiiii,Mpaka natesekaaaa wangu moyoo
Au niko tofautiiiii na hao anaowafata baibiii
Sikulazimisha pendoo , mwenyewe alilitakaaa
Nilimuoneshaa langu huba ,sasa mwenzenu najutaaaa
Aaah sikulazimisha pendoo , mwenyewe alilitakaaa
Nilimuoneshaa langu huba ,sasa mwenzenu najutaaaa
Sema kweli nimevumilia mengi sijakutenda kosa mpenzi weee
Nimevumilia mengi mpenzi wangu baba watoto wanguu weeehhh
Sema kweli nimevumilia mengi sijakutenda kosa mpenzi weee
Nimevumilia mengi mpenzi wangu baba watoto wanguu weeehhh
Lakini leooo imefikaa mwisho kwa hili penziiii kawaidaa yakoo
Lakini leooo imefikaa mwisho kwa hili penziiii kawaidaa yakoo
Nitarudi kwa baba na mama,Mawazo yangu yoote kwa watoto wanguu eeeh
Mazoea pia yanatabu yakee,Nitajitahidi mpenzi nitayasahau eeeh
Nitarudi nilipozaliwa familia yangu yoote itanipokeaaa eeeeh
Hii ni ya wakali wao eeh,Saaaleekuuu Mkombozi thabiti Abduli
Butua utuokoe wenzio eeeh,Mungu akuekeee
Antii latifaaa upo kileleni mamaaa eeeh upo juu daimaaa
Nishalia mimi sana mapenzi yanaumizaa,Ni bora kutulizana kuliko kujiliwazaa
Nishalia mimi sana mapenzi yanaumizaa,Ni bora kutulizana kuliko kujiliwazaa
Oooh baby oooh baby utanikumbukaaa
Oooh baby aiii baby utanikumbukaaa
Oooh baby aiii babyy utanikumbukaaa
Mwanzo wa mapenzi nilipendwa nakuthaminiiwaaa
Tena nilitunzwa mwanamkee oooh
Tena nilitunzwa mwanamkee mieeeeeh
Kama ninavyoitajika kutunzwaaaah
Nilukuwa nitake nini mimi nisipeweee
Baby niliitwa mimi honey nilikuwa mimiii
Kumbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee
Kumbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee
Pale wanapoanza kupendaa
Wakipewa wakitakacho hubadilikaa ,Kweli weeeeh
Wakipewa wakipendacho wanakimbiiaaa
Kumbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee
Oooh babyy oooh baby utanikumbukaaa
Oooh baby aii baby utanikumbukaaa
Oooh baby my baby utanikumbukaaa
Chezea huba wewe mtu akikutokea utasikiaaa
Oooh baby nitakujengea wakati yeye anakaa nyumba ya kupangaa
Mara oooh honey unapenda gari gani nikununuliee
Ukimfuatilia kutwa yeye yumo ndani ya madaladala inahusuu
Eti ohh baby nipe namba yako ya siri ya bank what wizzi huoo
Mmhhhhhh mmimi sitaki hiiii niya wawili wawilii eeeh
Magreti Komba na Thabiti abdul,Othumani na Asia utamu
Chukuaaa
Cheza cheza chezaa cheza chezaaa chezaaa sakata sakata sakataa
Zungusha zungusha zungusha cheza
Ah rumba rumba chezaa
Cheza cheza chezaa
Anaitwa Jumanne Ulayaa
Oooh babyy oooh baby utanikumbukaaa
Oooh baby aii baby utanikumbukaaa
Oooh baby my baby utanikumbukaaa
Oooh baby my baby utanikumbukaaa
Written by: Asia Utamu, Thabit Abdul, Wakali Wao Modern Taarab