Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kondela
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdulrahman Mickidady
Songwriter
Lyrics
Naitwa Kondela
Na Leo hii nipo Na Kaniba
sweet kama strobel
babe your love
Kama sukari
we yakwangu roho
umenikaba roba
Kabali
Take my heart slow
Utunze moyo tafadhali
Na Ukisema yes Sisemi No
Nakubali
penzi la kirasta
Nimepata pata
Sweet fanta fanta
I know you know that
Babe you know that
Una Waka Waka
Kule ma TikTok
Bila filter mpaka Snapchat
I know like that
Babe you like that
Nikiwa na wewe
Najiskia Niko fine babe
Your lips your body babe
Napenzi letu linazidi Ku shine daily
Na Mimi na wish Tufike mbali baby
Basi nishike hapa
Nitulize mapigo yanindunda (paaah)
Nimefunzwa haswa
Nimepitia kisu Cha ngariba
Yani Mwenzako hapa
Nimevurugwa Na Penzi Nisha data
Nimenaswa
Penzi Halina Makato halina riba
And this love is official God ametu bless
Atuhitaji na competition God amesha bless
penzi la kirasta
Nimepata pata
Sweet fanta fanta
I know you know that
Babe you know that
Una Waka Waka
Kule ma TikTok
Bila filter mpaka Snapchat
I know like that
Babe you like that
Nikiwa na wewe
Najiskia Niko fine babe
Your lips your body babe
Napenzi letu linazidi Ku shine daily
Na Mimi na wish Tufike mbali baby
Written by: Abdulrahman Mickidady