Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rapcha
Rapcha
Performer
Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joga Beatz
Joga Beatz
Producer
John Osimond Mfugale (Joga Beatz)
John Osimond Mfugale (Joga Beatz)
Producer
Justin John Mhagachi (Gachi B)
Justin John Mhagachi (Gachi B)
Mixing Engineer

Lyrics

[Verse 1]
Ndani ya dakika mbili nafika hapo usichoke no usichoke
Ndani ya siku ka mbili nakupeleka shopping mall usikonde
Ndani ya wiki ka mbili kuna hela naipata so, its okay
Ndani ya miezi miwili ntakupeleka upaone home usikonde
[Verse 2]
Yeah usikonde nilikua busy tu kazi
Nilisinzia mapema juzi afu pia simu haikuwa na charge
Nikaamkia ofisini kazi ni nyingi mi ndo nikawa incharge
Afu weekend ntakuwa shytown maana wazazi wananihitaji
[Chorus]
Uongo, ebana huo ni uongo
Uoo, uoo, uongo
Ebana huo ni uongo
Uoo uoo
Uoo oo uoo
Uooo ooo uoo
[Verse 3]
Jua nna jali sana hisia zako so sometimes huwa I have to lie
Nikisema kile ambacho we unahitaji kusikia unaeza die
Ubaya kila ambavyo mi ntajibu we lazima u'cry
[Verse 4]
Siunajua nakupenda wallahi, haya makosa i don't know why
Plus, nikikupa ukweli mtupu kesho tu utaondoka mkuku
Utantia aibu nibaki mtupu, ntasimangwa kila group
UEFA imeanza by the way leo usiku ntakua busy
Afu Kesho kutwa naenda marathon ntakumiss ile ki-ki kichizi
[Chorus]
Uongo, ebana huo ni uongo
Uoo, uoo, uongo
Ebana huo ni uongo
Uoo uoo
Uoo oo uoo
Uoo oo uoo
[Outro]
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi, sipendi ngebe
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi, sipendi ngebe
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi, sipendi ngebe
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi, sipendi ngebe
Written by: Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
instagramSharePathic_arrow_out