Credits
PERFORMING ARTISTS
Latinoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Issa Hussein
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Ukinishika kiuno napagawa
Mywele zimesimama tisti leo nagawa
Hiyo mikono kazi yake kupapasa
Kifo cha mende woii umeninasa
[PreChorus]
Leo sodoma na gomora utanifikisha
Angle niyadhambikitanda tunatikisa
Utaniua mbwembwe punguza kidogo
Mti nkidandia nitavunja kiboko
[Chorus]
Nishike hapa (Utamu) nishike huku
Niguse hapa (Utamu) niguse huku
Tushika hapa (Utamu) nishike huku (Utamu)
Nkigusa hapa (Utamu) niguse huku (Utamu)
[Verse 2]
Nikitaka kwenye gari napewa (Napewa yote)
Nikitaka kwenye bafu napewa (Napewa yote)
Nikitaka kwenye kiti napewa (Napewa yote)
Napewa yote
Nikitaka kwenye kochi napewa (Napewa yote)
Nikitaka kwenye jiko napewa (Napewa yote)
Unnuh napewa (Napewa yote)
Unnu napewa (Napewa yote)
[Verse 3]
Mama usinipe yote
Utamu unanizidia
Mtoto unastyle zote
Ile ya doggy kifo cha mende pia
[Verse 4]
Aah, utaniuaa
Punguza mbwembwe kidogo
Mti ukiudandiaa
Utavunja kiboko
[Chorus]
Nikishike hapa (Utamu) nishike huku (Utamu)
Nikigusa hapa (Utamu) niguse huku (Utamu)
Nkishike hapa (Utamu) nishike huku (Utamu)
Nkigusa hapa (Utamu) niguse huku
[Chorus]
Nikitaka kwenye gari napewa (Napewa yote)
Nikitaka kwenye bafu napewa (Napewa yote)
Nikitaka kwenye kiti napewa (Napewa yote)
Napewa yote
Nikitaka kwenye kochi napewa (Napewa yote)
Nikitaka kwenye jiko napewa (Napewa yote)
Unnuh napewa (Napewa yote)
Unnu napewa (Napewa yote)
Written by: Issa Hussein, Nadia Mukami