Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Latinoh
Latinoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Issa Hussein
Issa Hussein
Songwriter

Lyrics

another one
Another one Latinoh
Hewa hewa
Star jay right Sevens music
Nimazoea tu
Nishastuhudia mengi ninavumilia unaumia moyo (haaaaa)
Ndio maana si stangai uwanjani pasi unakuamchoyo
Nyama unampa nanñi eti kisingizio mimi
kibogoyo
Ila sio kweli mama chanzo sina nezo kuwa
n a toyo
Na nishatamani nikuache ache ila siwezi
Mapenzi yana nguvu yake yake Munashikana mikono mimi naona
Emojiza kopa kopa mwatumiana Mpaka picha za utupu mimi naona inaniuma sana
Munashikana mikono miminaona
Emoji za kopa kopa mwatumiana
Mpaka picha za utupu mimi naona inaniuma sana
CHORUS
na bado sijakoma (sijakoma koma koma) na bado sijakoma (si jakoma koma koma) na bado sijakoma (sijakoma koma koma) na bado sijakoma (sijakoma koma koma)
Nikusudi t u sudi t u
Ndo anayofanya
Moyo hauna buditu buditu
Hatankiukanya Nikusudi tu sudi tu
Ndo anayofanya
 
Moyo hauna budi tubudit u Hatankiukanya
Kitandani usiku baridi mwenzangu ana ntazama
Nimalize lisaa bafuni niturumie basi mama hayee
Munashikana mikono mimi naona
Emoji za kopa kopa mwatumiana
Mpaka picha za utupu mimi naona inaniuma sana
Munashikana mikono mimi naona
Emoji za kopa kopa mwatumiana
Mpaka picha za utupu mimi naona inaniuma sana
CHORUS
na bado sijakoma (sijakoma koma koma) na bado si jakoma (sijakoma koma koma) na bado si jakoma (sijakoma koma koma) na bado sijakoma (sijakoma koma koma)
 
 INSTRUMENTAL
Nimalize lisaa bafuni niturumie
Written by: Issa Hussein
instagramSharePathic_arrow_out