Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Latinoh
Latinoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Issa Hussein
Issa Hussein
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Teddy B
Teddy B
Producer

Lyrics

Yeiheee (sevens music)
Latinoh ooh ooh
Another one (teddy b)
Iyeei
Excuse me mama subiri kidogo ooh ooh
Umenibamba ile mbaya tushawai meet before
Ukinipea number itakua sawa(haaa)
Uko na chali sikatai nitakua hata spare tyre
Twende honey moon london
Tukifunga harusi kwa ndege
I wanna be with you my love my love
Nikubali mwenzio mi napata tabu (tabu)
Kupata chance kwako itakua ajabu
Unatazama chini unaona aibu (ibu)
Nikupe number whatsapp unipe jibu
Nikubali mwenzio mi napata tabu (tabu)
Kupata chance kwako itakua ajabu
Unatazama chini unaona aibu (ibu)
Nikupe number whatsapp unipe jibu
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Yes i do
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Yes i do
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Yes i do
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Kama urembo unao tena bila fillter
Wala kupaka make up
Mwenzako siku kibao kila ukipita
Moyo watapa tapa
Iyei
Kama urembo unao tena bila fillter
Wala kupaka make up
Mwenzako siku kibao kila ukipita
Moyo watapa tapa
Only you only you unafanya mwengine nisitazame
Only you only you mwenye tiba yakunifanya nipone
Nikubali mwenzio mi napata tabu (tabu)
Kupata chance kwako itakua ajabu
Unatazama chini unaona aibu (ibu)
Nikupe number whatsapp unipe jibu
Nikubali mwenzio mi napata tabu (tabu)
Kupata chance kwako itakua ajabu
Unatazama chini unaona aibu (ibu)
Nikupe number whatsapp unipe jibu
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Yes i do
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Yes i do
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Yes i do
Nasubiri jibu lako say yes i do (yes i do)
Tabu
Ibu
Only you only unafanya(tabu) mwengine nisitazame
Only you only you unafanya (ibu) mwenye tiba ya kunifanya nipone
Written by: Issa Hussein
instagramSharePathic_arrow_out