Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Latinoh
Latinoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Issa Hussein
Issa Hussein
Songwriter

Lyrics

sevens music
Mmh latinoh (iyee)
Sawa ni sawa (ye iyee) Alexis on the beat
Haya ni basi haya maumivu sitaki
Si bora ungebaki Umeniacha sihaki
Kungekua na uezo wa kutoa hata hela Ninunue roho nikupe uhai
sikuelewa walivyosema kwa mungu tutarejea (tutarejea)
Leo macho hayana pazia mageni na jionea Aaaah
Namiss ifike
Nashambuliwa moyo maumivu upweke Umeniacha mwenyewe niteseke ni sawa ah
Ah
siku nami
nicheke
 CHORUS
Sawa (sawa) ni sawa sawa japo nimeumia)
Sawa (sawa) ni sawa (sawa aah aat уееї) X2
Yamenikuta makuu ningalikijana kijana Mana magumu mazito ho ho
Umenivun ja mikono miguu siwez simama simama
Nini ilikua tatizo ho ho
Sikuelewa walivyosema kwa mungu
tutarejea (tutarejea)
Leo macho hayana pazia mageni na jionea Aaaah
Namiss ifike siku nami nicheke
Nastambuliwa moyo maumivu upweke
Umeniacha mwenyewe niteseke ni sawa ah Ah
 CHORUS
Sawa (sawa) ni sawa (sawa japo
nimeumia)
Sawa (sawa) ni sawa (sawa aati aati
усеїї)
Written by: Issa Hussein
instagramSharePathic_arrow_out