Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Gloria Muliro
Performer
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gloria Muliro
Songwriter
Lyrics
Fahamu anakupenda sana aah, aah
Na hii salvation yako haitadunda aah, aah
Miye msela sina hela (Alikupenda bila hela)
Miye msela sinanga hela (Alikupenda bila hela)
Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimii aah
Sababu mi mlofa na sina hela, miye fukara just imagine
Bado nafsi yangu ni kwako wewe, kuokoka kwangu ni kwako wewe
Ni kwako, ni kwako ooh, ni kwako, ni kwako wewe

Mungu sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekuweka eaah hutobanduka
Ni kweli uko mbali na mimi, uko mbali na uja wangu
Lakini msela mimi huyu sitolia kamwe yeyeeh
Mwana we mwana nakuambia tulia, mwana we mwana si vyema kulia
Mola anakuangalia, anakufikiria, atakuangazia eiiyeyeye
Mateso ni ya muda tu, mtihani utaupita tu
Hata usiku uwe mrefu ndugu, uuh kutapambazuka
Mungu sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka
Ni heri nimtazamie (Mtazamie Mola)
Ni heri nimkimbilie (Mkimbilie Mola)
Ni heri nimtumainie (Mtumainie Mola)
Mungu sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka
Mungu sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka
Written by: Gloria Muliro, Wilson Abubakar Radido