Music Video

Rayvanny - Falling In Love (feat. Nadia Mukami)
Watch Rayvanny - Falling In Love (feat. Nadia Mukami) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Songwriter
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Motif
Motif
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Utamu wa mapenzi, sitamani uishe
Sitamani ukatike, tusifike mwisho
Mmh deka mapenzi, ukitaka nikulishe
Na pete nikuvishe, mi nawe mpaka kifo
[Verse 2]
Nime amua, moyo umekuchagua
Hakuna wakusumbua, mimi ni wako
Mmh, naomba dua, penzi lizidi chanua
Na lisiache kukua, nibaki kwako
[PreChorus]
Malaika wamefananisha, uzuri usio jificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha, we wangu wa maisha
[Chorus]
I've fall in love, fall in love
I've fall in love, fall in love
[Verse 3]
Tabasamu lako (Lakoo)
Midomo macho (Machoo)
Upendo, huruma umezawadiwa
Tamu, tamu yako (Yakoo)
Sitoki kwako (Kwakoo)
Mapendo huduma umejaliwa
[Verse 4]
This is love I have been looking forever mine
I have been searching, my baby with you, ooh no no
This is the love I have been waiting
Forever love I have been searching
My baby, my baby
[PreChorus]
Malaika, wamefananisha, uzuri usiojificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usiojificha, we wangu wa maisha
[Chorus]
I've fall in love, fall in love
I've fall in love, fall in love
I've fall in love
Written by: Nadia Mukami, Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out