Top Songs By Angela Chibalonza
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Angela Chibalonza
Performer
Angela Chibalonza Muliri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angela Chibalonza
Songwriter
Angela Chibalonza Muliri
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Uliniumba nikuabudu (Uliniumba nikuabudu)
Kwajili yako mimi naishi (Ooh uliniumba nikuabudu)
Pasipo wewe nisingekuwepo (Ooh uliniumba nikuabudu)
Mimi ni kazi ya mikono yako (Ooh uliniumba nikuabudu)
[Verse 1]
Baba ninaona nikuabudu
Maana matendo yako ni mengi sana
Ishara zako Baba ni nyingi mno
Maana wewe ndie mungu wangu
Uliumba nisema matendo yako
Wewe ndie Mungu wa miungu ee!
[Verse 2]
Haleluya Baba, wewe kimbilio letu na ngome yetu
Hakuna alie kama wewee
[Chorus]
Uliniumba nikuabudu (Uliniumba nikuabudu)
Pasipo wewe nisingekuwepo (Ooh uliniumba nikuabudu)
Kama si lewe singeliishi (Uliniumba nikuabudu)
Kwa ajilli yako mimi naimba (Uliniumba nikuabudu)
[Verse 3]
Maneno yakusema yananikosa
Maana matendo yako niyaajabu
Maana ishara zako ni nyingi mno
Kwa macho nimeona makuu yako
Masikio nimesikia matendo yako
Ndio maana nimetambua yakwamba niliumbwa nikuabudu wee!
Mungu wa mileele
[Chorus]
Uliniumba nikuabudu (Uliniumba nikuabudu)
Kwa ajili yako mimi naishi (Ooh uliniumba nikuabudu)
Umenipa sauti nikuimbie (Uliniumba nikuabudu)
Hata watu wote wanajua (Uliniumba nikuabudu)
Uliniumba nikuabudu
Ninasema uliniumba (Ooh uliniumba nikuabudu)
Wewe ni nuru ya maisha yangu (Ooh uliniumba nikuabudu)
Wewe ni mwamba wa imani yangu (Uliniumba nikuabudu)
[Bridge]
Halleluya! Yesu mataifa yote ya dunia njoo tumwimbie Bwana maana fadhili zake ni za milele
Daudi anasema hata wakati moyo wangu unakuwa na uoga ni kwako Mungu ninajileta
Maana hakuna alliekutumikia akapata haya halleluuya
[Chorus]
Yesu ni mfalme (Uliniumba nikuabudu)
Uliniumba nikuabudu (Ooh uliniumba nikuabudu)
Mataifa yote mnisikie (Ooh uliniumba nikuabudu)
Pasipo Yesu mimi nisingekuwepo (Ooh uliniumba nikuabudu)
Kama si wewe singeliishi (Ooh uliniumba nikuabudu)
[Chorus]
Wewe ni mwamba wa maisha yangu (Ooh uliniumba nikuabudu)
Umeokoa wazazi wangu Baba (Ooh uliniumba nikuabudu)
Umeokoa taifa lako yeye (Ooh uliniumba nikuabudu) ooh yeah
Written by: Angela Chibalonza, Angela Chibalonza Muliri