Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gach b
Gach b
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mapenzi chenga yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa
Na mapenzi chenga yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa
[Verse 2]
Wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka
Wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka
[Verse 3]
Unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka
[Chorus]
Naogopa (Naogopa)
Naogopa (Naogopa)
Naogopaa
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa (Naogopa)
Naogopa (Naogopa)
Naogopaa
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
[Verse 4]
Nimeyaona bayana ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
Nimeyaona bayana ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki kumbe vyombo anakula muuza magazeti
[Verse 5]
Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
[Verse 6]
Unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka
Unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka
[Chorus]
Naogopa (Naogopa)
Naogopa (Naogopa)
Naogopaa
Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike
Naogopa (Naogopa)
Naogopa (Naogopa)
Naogopaa
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out