Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Producer
Lyrics
Ningependa kuona Vanessa na Jux, mara ghafla ikatokea nuksi, sikuwaona tena wakatengana
Aslay nilizoea kumuona na Tesi, katokea mazito sio mepesi, wakatengana tena
Nilitegemea kumuona Harmo na Sara wakiendelea, mambo yamebadilika namwona Kajala ila nawaombea
Nilitegemea Kusah na Ruby wakiendelea, mambo yamebadilika namwona Aunt Ezekiel, watoto wanamlea
Uh-huh, new couple, kila siku inazuka new couple
Uh-huh, new couple, kila siku inazuka new couple
Mlikuwa nice couple, harusini ningekuja na zawadi ningetoa, hey
Eti Queen Darleen wamwonea wivu wa nini? Ukiwa mke wa pili jiamini, yeah
Eti Mani na Esma mambo mmeyamaliza, inamkera mziza, no, no, no
Mlitegemea kuniona mimi na Nenga tukiendelea, mambo yamebadilika na simwoni tena ila namwombea
Mlitegemea Fahima na Ray, wakiendelea, mambo yamebadilika yaliyofatia sisemi
Uh-huh, new couple (Weh, new couple), kila siku inazuka new couple (New couple)
Uh-huh, new couple (New couple, yeah), kila siku inazuka new couple (New couple, yeah)
Kila siku inazuka new couple
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga