Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Darassa
Darassa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juliet Mariam Ayub
Juliet Mariam Ayub
Songwriter
Shariff Thabit Ramadhani
Shariff Thabit Ramadhani
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. T Touch
Mr. T Touch
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Iwe kwa miguu kwa gari ni shoulder to shoulder
Naruka na ndege baiskel au bodaboda
Hi hater najua mmewasha recorder
Habari zetu mmetengenezea ma folder
[Verse 2]
WWW'hatuwezekani.com
Au piga customer care yetu free call
Washa jua, shusha mvua bring that storm
Kwa hali yoyote lazima am going home
[Verse 3]
Let me tell you nilipotoka sijawahi ku fake
Zamani maji ya kiroba kula one take
Siku hizi mtu akitukera tunachekea bank
Naingiza number ATM zinatoa change
[Verse 4]
Wakiuliza kuhusu mimi waambie nipo gado
Wakiuliza how am doing waambie no straggle
Wakiulizia time waambie mambo bado
Bwana mdogo ungetulizaga kipago
Tell me what you see, I got no worry
[Chorus]
Ukiniangalia aah wala sina pressure
Tell me what you see, when you look at me
Ukiniangalia pressure sinaga pressure
Pressure sinaga pressure
Ukiniangalia, pressure sinaga pressure
[Verse 5]
And when you give me love, you got the love
You got my respect
Ukinivunjia heshima nitakupa adabu
Nakata na network ehehee
[Verse 6]
Nashusha mizinga wanapofanyia vikao
Sitakagi ujinga, mpaka wanyooshe maelezo yao
Wana alosto ya udaku masikioni mwao
Supply wa umbea mtaani kwao umeme wa mgao
[Verse 7]
Wanavunja ungo, vunja vunja nazi na mayai
Wana campaign kwenye kiti changu hawakai
Nafoka nachokoza nakuapia wallahi
Natoka nimechomoza, nyota zao hazing'ai
[Verse 8]
Usichezee mnyama mwenye njaa kwenye field
Nimetembea sijateleza kwa ganda la ndizi
Unakubali unakataa, sijali what you need
A got my people na mama, watoto wako feed
[Verse 9]
AM to PM mi uwa nipo busy
Nairobi to Kampala, you know what it is
Tupite Mombassa, Tanga tukale wali ndizi
Don't text me am driving nipo speed
[PreChorus]
Tell me what you see, I got no worry
Ukiniangalia aah wala sina pressure
Tell me what you see, when you look at me
Ukiniangalia pressure sinaga pressure
Pressure sinaga pressure
Ukiniangalia, pressure sinaga pressure
[Outro]
And when you give me love, you got the love
You got my respect
Ukinivunjia heshima nitakupa adabu
Napata nami keki ehee
Written by: Juliet Mariam Ayub, Shariff Thabit Ramadhani
instagramSharePathic_arrow_out