Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Shetta
Shetta
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nurdin Ally Bilali
Nurdin Ally Bilali
Songwriter

Lyrics

Kwanza umejazika kama mlima Kitonga, hapo mpaka mabitozi wanajigonga
Figure matata na kweli umekwenda skonga, je napokumiss napu-call tunabonga
(Hello) Hello, we ndio Mamitto (Mitto), amini mi ndio Papito (Pito)
Ah, we ndio Mamitto, achana nao ya dunia yote mapito
Okay (Yes), ah, we ni bonge la demu (Demu), hata machizi wamesema bonge la shemu (Shemu lake)
Amini we ni bonge la demu, tupendane tupeane yaani kila sehemu
We ndio Mama Kaila (Kaila), of course mi ndio Baba Kaila (Kaila)
Amini we ndio Mama Kaila, achana nao wanaokufata wote ni mataila
We ni wangu tuu tena waambie watuache tulale
We ni wangu tuu usije niacha nikachekwa na wale
(Ona naimba) Kerewa, kerewa (Hayaya), kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya), ah, kerewa ayayaya (Ooh-ooh-ooh)
Kerewa, kerewa (Hayaya), kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya), ah, kerewa (Ha), ayayaya (Ooh-ooh-ooh)
Yo, umenipa nafasi sitaki nikose (Yes), sitaki mwendo kasi, sitaki nipote
Changanya kila kitu mpaka nikole (Uhn), mi ni wako kila siku nipoke, ay
Jua kweli nakupenda mama, siwezi kukuigiza drama
Vicheche nawakatalia sana, na nafurahia pia unabania wana
Wangawanga wanasema unifai kabisa (Oh-oh), wanatamani nikuache kwa visa (Oh oh)
Wengine wanataka nikuuze ka hisa (Hey), ila mchizinimegoma sikuachi kabisa (Ah-ah)
We ndio Mama Kaila (Kaila), of course mi ndio Baba Kaila (Kaila)
Amini we ndio Mama Kaila, achana nao wanaokufata wote ni mataila
We ni wangu tuu tena waambie watuache tulale, we ni wangu tuu usije niacha nikachekwa na wale
(Ona naimba) Kerewa, kerewa (Hayaya), kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya), ah, kerewa ayayaya (Ooh-ooh-ooh)
Kerewa, kerewa (Hayaya), kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya), ah, kerewa (Ha), ayayaya (Ooh-ooh-ooh)
Sa usiniumize basi (Hayaya), ukanipa wasi-wasi (Hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (Hayaya), moyo ukanienda kasi (Hayaya)
Na usiniumize basi (Hayaya), ukanipa wasi-wasi (Hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (Hayaya), moyo ukanienda kasi (Hayaya)
Ah, si unajua wenye chuki na hiyana, wametukania sana
Sana usiku na mchana, wakiomba kuachana
So usiniumize basi (Hayaya), ukanipa wasi-wasi (Hayaya)
Na kaugonjwa ka nafsi (Hayaya), moyo ukanienda kasi (Hayaya)
Written by: Nurdin Ally Bilali
instagramSharePathic_arrow_out