Featured In
Top Songs By Darassa
Similar Songs
Lyrics
[Verse 1]
Umezaliwa malaika
Unahitaji mtu akuongezee mbawa tu upae
Nimekuletea heleni na cheni na jina lako
Kwenye kidani leo uvae
[Verse 2]
Nataka ajiskie special, special
Nifanye atulie kasettle, kasettle
My baby face Mobetto, Mobetto
Namletea loketo, loketo
[Verse 3]
Do I believe in you no doubt
And my love is true don't doubt
Au nishike spika aseme loud mama
There is no one like you I feel proud
[PreChorus]
Ukicheka ukinuna, ukisema ukiguna
Mzuri wa sura, kakujalia mama
Wakujiongeza, anavyopendeza
Umkute akicheza mikogo ya papa
[Chorus]
Naona naona naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
Naona, naona, naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
[Verse 4]
No campaign to the one my baby huna mpinzani
Na kama ningeweza jina lako ningeandika angani
Au nitoe moyo nikupe ili ushike kiganjani
Haya mapenzi sasa mashetani yamepanda kichwani
[Verse 5]
Mtoto laini laini, dagaa
Michezo ya kachiri kachiri, sagaa
Napigwa mawe mi bado
Napigwa vita nisiwe nawe my girl
[Verse 6]
Do I believe in you no doubt
And my love is true don't doubt
Au nishike spika aseme loud mama
There is no one like you I feel proud
[PreChorus]
Ukicheka ukinuna, ukisema ukiguna
Mzuri wa sura, kakujalia mama
Wakujiongeza, anavyopendeza
Umkute akicheza mikogo ya papa
[Chorus]
Naona naona naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
Naona naona naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
[Verse 7]
Look at you girl umenikamata
I repeat myself back to the matter
You and I, you and I girl
You and I, you and I love
[Verse 8]
Look at you girl umenikamata
I repeat myself back to the matter
You and I, You and I girl
You and I, You and I love
Written by: A