Music Video

Willy Paul - Tulia ( Bebi Shak ) ( Official Video )
Watch Willy Paul - Tulia ( Bebi Shak ) ( Official Video ) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma Opondo
Wilson Ouma Opondo
Songwriter

Lyrics

[PreChorus]
Unanifanya najihisi mtoto
Bebi shak dududu, bebi shak dudu
Anything you want ago dudu
Bebi ago dudu, bebi ago do
Unanifanya najihisi mtoto
Bebi shak dududu, bebi shak dudu
Anything you want ago dudu
Bebi ago dudu, bebi ago dudu
[PreChorus]
Bila wee silali ata kwa piriton
Moyo wangu chali nibebe, nibebe
Na nisipokuona baby sipati amani
Nisipokuona sweeti usingizi sipati
[Chorus]
Kwako nimesha tulia lia tulia
Ukiniguza kidogo nalala-lala, lala
Ukiniwacha baby nitalia lia lia
Sababu nishakupenda sana, sana, saana
[Verse 1]
Na nikikuchiti nitakua mnafiki
Hayo tabia ya ibirisi nitakua napritendi
Haina maana niende kuingine
Wakati wewe wanitosheleza
Haina maana niende kuingine
Wakati wewe wanibembeleza
[Verse 2]
Jameni umeniweza mpenzi
Kila mara nakuwaza
Jameni umeni roga mpenzi wee
Mia kwa mia nakupenda
[PreChorus]
Unanifanya najihisi mtoto
Bebi shak dududu, bebi shak dudu
Anything you want ago dudu
Bebi ago dudu, bebi ago dudu
Unanifanya najihisi mtoto
Bebi shak dududu, bebi shak dudu
Anything you want ago dudu
Bebi ago dudu, bebi ago dudu
[PreChorus]
Bila wee silali ata kwa piriton
Moyo wangu chali nibebe, nibebe
[Chorus]
Kwako nimesha tulia lia tulia
Ukiniguza kidogo nalala-lala, lala
Ukiniwacha baby nitalia-lia lia
Sababu nishakupenda sana, sana, saana
Written by: Wilson Ouma Opondo
instagramSharePathic_arrow_out