Top Songs By B Classic 006
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
B Classic 006
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dennis Manja
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Denzel
Producer
BARAKIS
Producer
Lyrics
Sherehe bila mamanzi ni uwongo, si unajua wanatukoleza
Tukinywa tunavo party na uhondo, mpaka B anabembeleza
Tunapenda mushenee, mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza, mpaka mademu wanajileta
Napenda pombe-mbe, ninywe nilewe zinibebe-be
Hapa kushoto ooh, nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure aah, tuko happy tunafurahia
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Napenda pombe-mbe, ninywe nilewe zinibebe-be
Hapa kushoto ooh nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure tuko happy tunafurahia
Hii party haichagui rika (Eeh), vienyeji wanakubalika (Eeh)
Na sheree niya Kila mtu (Eeh), kujibamba ni nafasi ya mtu (Eeh)
Watu wa beer mchezeshe vitambi (Eeh), wa whisky muendelee ku dance (Eeh)
Jean na Wine muendelee ku wine (Eeh), watu wa soda nyi mpewe straw (Eeh Ajeeh)
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Napenda pombe-mbe, ninywe nilewe zinibebe-be
Hapa kushoto ooh, nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure aah, tuko happy tunafurahia
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Napenda pombe-mbe, ninywe nilewe zinibebe-be
Hapa kushoto ooh nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure tuko happy tunafurahia
Written by: Dennis Manja