Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
DanZak
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Hamdan Al Zakwani
Songwriter

Lyrics

Intro:
Yeaaah haa, nana nana nana naah
Hey Danny (Mdigo) Yogo on the Beats
Verse 1:
Jamani kupendwa raha acheni nijishauwe
Zidisha kutia dawa nichanganye niwehue
Mapenzi yamenikaba na ile michezo mahaba
Zidisha tu baba zidi nin’gan’ganie
Na lile tendo chumbani nikiwa kifuani
Na hilo joto ndani nakupa maruhani wewe
Sikuachi wewe
Na lile tendo chumbani nikiwa kifuani
Na hilo joto ndani nakupa maruhani wewe
Sikuachi wewe
Kachiri kachiri zinanikosha zako kachiri
Funga kufuli tuwe wawili kwenye giza uniokoe nikoe
Kachiri kachiri zinanikosha zako kachiri
Funga kufuli tuwe wawili kwenye giza uniokoe niokoe
Chorus:
Hai nampenda, Napenda ukirembua
Mi nampe, Kiuno ukinengua
Nampe, Mzuri unajijua
Nampe, Ananikoshaga iyyeh
Mi nampenda, Napenda ukirembua
Mi nampe, Kiuno ukinengua
Nampe, Mzuri unajijua
Nampe, Ananikoshaga iyyeh
Mi nampenda
Interlude:
Kanifanya nidokoe kanifanya nidokoe dokoe (aii)
Kanifanya nidokoe kananifanya nidokoe
Verse2:
Mwari kawa kungwi ameyajua
Nakesha bundi sioni pakutua
Nguvu za kirundi anatibua
Wakifunika ye anafunua (haayeh)
Ana laini jojo (jojo)
Utamu mpaka kwa kisogo (kisogo)
Niringishie dodo (dodo)
Nami nitakupaga muhogo (wa jan’gombe)
Kiuno kiono (kiuno)
Kakupa mama hiko kiuno (kiuno)
Fundi wa kuzungusha kiuno (kiuno)
We ni hodari (hodari)
Kiuno kiuno (kiuno)
Kinyongorote hiko kiuno (kiuno)
Nami unipe humo kwa humo (kiuno)
We ni hodari (hodari)
Kachiri kachiri zinanikosha zako kachiri
Piga kufuli tuwe wawili kwenye giza nijiokoe (heeey)
Kachiri kachiri zanikosha zako kachiri
Piga kufuli tuwe wawili kwenye giza nijiokoe (hayaa)
Chorus:
Hai nampenda, Napenda ukirembua
Mi nampe, Kiuno ukinengua
Nampe, Mzuri unajijua
Nampe, Ananikoshaga iyyeh
Mi nampenda, Napenda ukirembua
Mi nampe, Kiuno ukinengua
Nampe, Mzuri unajijua
Nampe, Ananikoshaga iyyeh
Mi nampenda
Interlude:
Kanifanya nidokoe kanifanya nidokoe dokoe (aii)
Kanifanya nidokoe kananifanya nidokoe
Aii, kanifanya nidokoe kanifanya nidokoe dokoe (hey)
Kanifanya nidokoe kanifanya hivi (haya)
Chorus:
Mi nampenda, Napenda ukirembua
Mi nampe, Kiuno ukinengua
Nampe, Mzuri unajijua
Nampe, Ananikoshaga iyyeh
Mi nampenda, Napenda ukirembua
Mi nampe, Kiuno ukinengua
Nampe, Mzuri unajijua
Nampe, Ananikoshaga iyyeh
Mi nampenda
Outro:
#MpakaKiitike
It’s TNT
Written by: Hamdan Al Zakwani
instagramSharePathic_arrow_out