Credits
PERFORMING ARTISTS
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Songwriter
Lyrics
Intro:
Mocco!
Na na na na na nah
Na na na na na nah
Na na na na na nah
Hey Danny!
Verse 1:
Sio hadithi za babu
Yametokea hadharani Mtogole
Yameniacha mkavu
Na moto wa uchungu ukolee
Huyu mtoto ngangadu
Japo sura sauti mlokole
Nishamchezesha upatu
Naweka mwenge wa kula na ale
Mi nan’gan’gana kujenga mwenzangu anaharibu
Ya Snura majanga nayaona kila siku
Abadilisha waganga aniroge niwe bubu
Kushikiana mapanga ugomvi sio issue
Ka daladala za Kimara Mbezi
Kwa Haji Manara na Antonio Mtembezi
Kote kalala hapana simuwezi
Nitue
Pwani na bara wanazo tetesi
Uwe kipara ama wakuite rasi
Gumba gumbala bora umpoze keshi
Aniue
Chorus:
Nitue, heeh nitue, heeh nitue, aibu
Nitue, heeh nitue, heeh nitue, taratibu
Interlude:
La la la la la laa laaah
Mmm mmhhh
Na na naaa! Mmmh
Verse 2:
Ah mapenzi yalikuwaga zamani
Siku hizi drama na ushindani
Wengi waliniita baby baby wengine honey
Na mwisho wake penzi huwaga mtihani
Nah najaribu sahau lakini bado, bado mah
Mapenzi yalinitupia virago
Haya mapenzi yalifanya moyo nione mzigo
Ah maumivu yakaniandama dabo
Ka daladala za Kimara Mbezi
Kwa Haji Manara na Antonio Mtembezi
Kote kalala hapana simuwezi
Nitue
Pwani na bara wanazo tetesi
Uwe kipara ama wakuite rasi
Gumba gumbala bora umpoze keshi
Aniue
Chorus:
Nitue, heeh nitue, heeh nitue, aibu
Nitue, heeh nitue, heeh nitue, taratibu
Bridge:
Mmh, yeaaah
Basi, usinipe maradhi we
Basi, sioni sababu we
Basi, heeh inatosha
Basi, usinipe maradhi yeah
Basi, sioni sababu mie
Basi, ah inatosha
Outro:
MPAKA KIITIKE
MMP
Written by: Hamdan Al Zakwani