Credits
PERFORMING ARTISTS
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Songwriter
Lyrics
Intro:
Hey Danny, Mdigo!
Verse 1:
Hivi we kabila gani, asili ya ulipotoka
Honey, mwenye umbile la kopa
Asa nichombeze nichombeze
Mahaba unikoleze nikoleze
Ey, nitulize nitulize
Kwako nijimalize malize
Ananipa joto
Nazipiga deki nasafisha uwanja
Wema Sepet’Oh
Mtoto sauti chiriku akicheka ana mwanya
Baby please ma
Tugandane pizza na cheese ma
Kama maji kwenye kisima
Natupa yangu kata
Jitenge nikuchote nikuvute ning’an’ganie
Chorus:
Anaji shi shi (anajishaua)
Na anaji shi shi shi (anajishaua)
Ey shi shi (anajishaua)
Anaji shi ji shi (anajishaua)
Ana mapozi ya camera (jishaua)
Kanga akivaa na dera (jishaua)
Tamu ya kuku sekela (jishaua)
Ana upole Cinderella (jishaua)
Ana mapozi ya camera (jishaua)
Kanga akivaa na dera (jishaua)
Tamu ya kuku sekela (jishaua)
Ana upole Cinderella (jishaua)
Verse2:
Hey Danny, Mdigo!
Ana kachiri
Sifa zake waweza tungia mashahiri
Kama kazaliwa jana
Siri mi sifanyi tena sa namuweka dhahiri
Tupate na baraka za mama
Anajua kujipamba (anajishaua)
Ni mjuzi wa kandanda (anajishaua)
Tena akicheza vanga charanga
Kwao Makorora Tanga (anajishaua
Babu Juma kasimama dede (kaupinda yeye)
Mugongo (kaupinda)
Mpaka Danny nakuwaga bwege (kaupinda yeye)
Mugongo (hoo kaupinda)
Baby please ma
Tugandane pizza na cheese ma
Kama maji kwenye kisima
Natupa yangu kata
Jitenge nikuchote nikuvute ning’an’ganie
Chorus:
Anaji shi shi (anajishaua)
Na anaji shi shi shi (anajishaua)
Ey shi shi (anajishaua)
Anaji shi ji shi (anajishaua)
Ana mapozi ya camera (jishaua)
Kanga akivaa na dera (jishaua)
Tamu ya kuku sekela (jishaua)
Ana upole Cinderella (jishaua)
Ana mapozi ya camera (jishaua)
Kanga akivaa na dera (jishaua)
Tamu ya kuku sekela (jishaua)
Ana upole Cinderella (jishaua)
Outro:
Mpaka kiitike
Written by: Hamdan Al Zakwani