Music Video

DanZak - Ipo ft. Passo (Official Video)
Watch DanZak - Ipo ft. Passo (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
DanZak
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Hamdan Al Zakwani
Songwriter

Lyrics

Intro:
Hey Danny, na Passo!
Mhhh... Mocco!
Verse 1: Passo
Upole alinifunza mama
Mazuri tabia njema
Kelele na kujibizana
Siku zoea uliniacha dilemma
Raha ya penzi kupendana
Ila mi ndo nlimpenda sana
Yeye akaniona koroma maa
Kumbe mwenzangu kibiriti ngoma
Unawashwa na unachoma
Umenitia kovu nasonona
Ona.. haaa
Ukaubandika moyo nyama choma
Hufadhiliki huna jema
Umenivunja nguvu
Mi angema ema haaa
Kuna muda najiuliza
Mapenzi nini haswa
Yananitatiza
Na kunikatisha tamaa
Si labda ni miujiza
Nyota yangu haijan’gaa
Yananiumiza
Ila naomba mola
Najua kama yangu ipo
Chorus: Passo & DanZak
Ipo, haaa haa
Ipo, huwezi n’gan’gania
Ipo, akipanga mola
Ipo, yangu itanifikia
Ipo, haa haa
Ipo, nami nitapata
Ipo, wa kunibembeleza
Ipo, hoooo
Interlude: DanZak
Aaahhh… yo, yo yo!
Hey Danny!
Verse 2: DanZak
Assa iwe basi
Nimen’goa mizizi na nanga nishaichomoa
Iwe basi
Napiga mbizi nakosha majanga tua
Kishanipa homa isopona
Tabibu anikimbie
Misumari uliyo nichoma nimekoma
Visa visanga nyie
Hata kula moyo unagoma mama
Haina maana kuishi pamoja sie
Talaka naisoma ah huku chozi lanitoka
Kanibandika moyo nyama choma
Hufadhiliki huna jema
Umenitia kovu nasonona haya
Kuna muda najiuliza
Mapenzi nini haswa, nini haswa
Yananimaliza
Ila naomba mola baba
Najua yangu ipo
Chorus: DanZak
Ipo, haaa haa
Ipo, siwezi n’gan’gania
Ipo, hoo
Ipo, akipanga mola yangu
Ipo, oh haa haa
Ipo, ah huwezi kupangua
Ipo, oh haa haaa
Ipo
Bridge: DanZak
Wamemteka kwa nyara wenye ngawira
Ntaionaga
Ila hata kandanda wadunda mpira
Ntaionaga
Ipo siku na nyota yangu itan’gara
Ntaionaga
Haya!
Outro:DanZak
Mpaka kiitike
MMP
Written by: Hamdan Al Zakwani
instagramSharePathic_arrow_out