Music Video

B Gway - Ujinga (Official Music Video)
Watch B Gway - Ujinga (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
B Gway
B Gway
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamisi Abdul Bigo
Hamisi Abdul Bigo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr Lg
Mr Lg
Producer

Lyrics

[Intro]
HelooowNi Bad
Lg My G (Hatuendekizi Ujinga)
[Verse 1]
Niuze Figo Kisa Iphone Me Ni Mjinga
(Wacha Masihara siendekezi Ujinga)
Nikaitafute Ndoa Kwa Umri Wangu Huo Si Ujinga
(Wacha Masihara siendekezi Ujinga)
[Chorus]
Ujinga Ujinga Ujinga (Siendekezi Ujinga)
Ujinga Ujinga Ujinga (Siendekezi Ujinga)
[Verse 2]
Hapa Kwangu Ni Kufua Kudeka Kwa Baba Yako
Na Hivo Vikucha Vyako Kabandike Kwa Mama Yako
Kudekezwa Kote Huku Alafu Badae Nika Cheat
(Wacha Masihara siendekezi Ujinga)
Yani Nilipe Zangu Kodi Alafu Punguza Saut Ya mziki
(Wacha Masihara siendekezi Ujinga)
[Chorus]
Ujinga Ujinga Ujinga (Siendekezi Ujinga)
Ujinga Ujinga Ujinga (Siendekezi Ujinga)
[Chorus]
Ujinga Ujinga Ujinga (Siendekezi Ujinga)
Ujinga Ujinga Ujinga (Siendekezi Ujinga)
[Hook 2]
Me Nina Roho Ya Korosho Nizingue Nikupige Kidosho
Roho Ya Korosho Nizingue Nikupige Kidosho
Me Nina Roho Ya Korosho Nizingue Nikupige Kidosho
Roho Ya Korosho Nizingue Nikupige Kidosho
Written by: Hamisi Abdul Bigo
instagramSharePathic_arrow_out