Top Songs By Brezy
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Brezy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Willson Chiwapanga
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
We na mimi
Mpaka kifo kitutenganishe
Baki nami iih
Binadamu wasitugombanishe
[Verse 2]
Eti kama kuwa na wewe dhambi, acha niichume kirahisi
Baby ulivyo na hizo chipsi, nyama nyama hayo mahipsi
Ndo nadata macho lipsi, hawajui tu mimi
Nimezama penzini, na wajue kuwa!
[Chorus]
Nakupenda weeh, nakutaka weeeh
Nakupenda weeh, nakutaka weeeh
Basi njoo unichumu nikiss unichumu
Mwaah, mwaah
Nakupenda weeh, nakutaka weeeh
Nakupenda weeh, nakutaka weeeh
Basi njoo unichumu nikiss unichumu
Mwaah, mwaah
[Verse 3]
Waliposema umenipenda mvuta bangi ukawajibu mbona mi ndo wake pusha (Pusha)
Na ukasema hata nikiwa naupele yani utaenda kama wangu kucha (Kucha)
Yani msaada uwache kwenye tuta (Tuta)
Halafu hizo nyama nenda kama bucha (Bucha)
Halafu usiiname nenda ka unakufa Yani kama unaitupa (Juu)
[Verse 4]
Oya weeh kanipa (Kanipa)
Mtoto vitu vyangu vyote kanipa (Kanipa)
Hata nisivyotaka vyote kanipa (Kanipa)
Na nilivyotaka vyote kanipa, na vyandani kanipa
Na vya nje kanipa (Kanipa)
[Verse 5]
Maua yangu yote kanipa (Kanipa)
Mabusu yangu yote kanipa (Kanipa)
Vile vya mama vyote kanipa
Na vyakungwi kanipa, na vya somo kanipa
[Chorus]
Nakupenda weeh, nakutaka weeh
Nakupenda weeh, nakutaka weeh
Basi njoo unichumu nikiss unichumu
Mwaah, mwaah
[Chorus]
Nakupenda weeh, nakutaka weeh
Nakupenda weeh, nakutaka weeh
Basi njoo unichumu nikiss unichumu
Mwaah, mwaah
Written by: Willson Chiwapanga