Music Video

DanZak - Koma Corona (Goodbye Corona)
Watch DanZak - Koma Corona (Goodbye Corona) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
DanZak
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Hamdan Al Zakwani
Songwriter

Lyrics

Intro:
Hey Danny
Mdigo
It’s KrizBeatz the drummer boy
Chorus:
Yeh, Corona
Si utani coro (coro)
Sina amani coro (coro)
Haichagui wala haibagui rangi
Abadani Corona
Si utani coro (coro)
Sina amani coro (coro)
Haichagui mkubwa wala mdogo yaani
Si utani
Koma corona (corona) * 8
Verse:
Dalili homa kali
Mafua na kikohozi (eh)
Oh no binadamu sio commando
Ukiwa na dalili kamuone daktari (eh)
Janga hili kubwa sana (corona)
Inabidi kupambana (corona)
Tumsikize Ummy Mwalimu
Tubaki nyumbani
Kusongamana
Mikono kupeana (yeah)
Vyote havina umuhimu
Tuishinde korona
Yeah, corona
Keep fighting coro (coro)
Keen to beat coro (coro)
If we don’t fight
There’ll be people dieing
Cannot give in corona
Keep fighting coro (coro)
Keen to beat coro (coro)
If we take it light
There’ll be people dieing
Cannot give in corona
Goodbye corona (corona) * 8
Ahha protect your loved ones yeah
Kaa nyumbani dunia yakutegemea
Aisee kwa pamoja tutashinda
Yap, yeah, mpaka kiitike
Written by: Hamdan Al Zakwani
instagramSharePathic_arrow_out