Credits
PERFORMING ARTISTS
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Songwriter
Mrisho Lisso
Songwriter
Lyrics
Hey Danny, woah woah woah woah waah
Na Passo, Wooooh wooooh
Wana wana wana wana wana
Wana mawivu
Wana wana wana wana wana
Wajinyonge
Mocco
Mtoto sampuli ya Makkah upole wa Madina
Mixer uturi kupaka vidole hina
Visato sato na papa kwenye jiko la mchina
Haaa kidori matata utamu mwili mzima
Chumbani hunipoza joto
Kwa vinakshi nakshi vya kihindi
Cha mkwezi kimoko moko
Nikiweka bao la ushindi
Poleni nyi viropo ropo
Penzi langu la rangi nyingi
Haaaaa
Ni fundi wa kudeka deka kudengua
Jicho lime tepeta kurembua
N’gari n’gari Masha Allah
Nahonga sumni na dola
Ah fundi kupekecha pekechua
Maepe cheketu cheketua
Somo hajala hasara
Walieko he wallah
Nipe penzi waone, mubashara
Ah mahasidi wasonone, mubashara
Oooh ukiwashwa nikukune, mubashara
Oooh ouh uhooo, haaaa, mmmmhmm
Mmmmmh mmhhh mmmhhhh
Oooh aaah yeheee
Mmmmmh mmhhh mmmhhh aaaahhh
Mmmhhh
Upepo mwanana unapo vuma
Hunikinga kidigitali
Alisha jua napenda wima
Kibuyu toweza asali
Fundi wa sugua sigina
Na mapana ya jodari
Mdele fungua kisima
Nami kata iko tayari yallah
Ya shababi yallah
Jivune umepata shababi yallah
Ya shababi yallah, yallah haaaa
Fundi wa kudeka deka kudengua
Jicho limerepeta kurembua
N’gari n’gari Masha Allah
Nahonga sumni na dola ah
Ah fundi kupekecha pekechua
Maepe cheketu cheketua
Somo hajala hasara
Mwalieko he wallah
Nipe penzi waone, mubashara
Mahasidi wasonone, mubashara
Oooh ooouh ukiwashwa nikukune, mubashara
Houhoo, oooooh, mubashara
Haa, haa, haaaaa
Ya habibi, habibi
We ndio ua langu waridi, habibi
Ninapo pungua unazidi, habibi habibi
We ndio wangu wanifariji, habibi
Ya habibi, habibi
Wengi hawataki watuone, habibi
Ya habibi, habibi, habibi
Haaaa oooh
Wana wana wana wana wana
Wana mawivu
Wana wana wana wana wana
Wajinyonge
Mpaka kiitike
Written by: Hamdan Al Zakwani, Mrisho Lisso