Lyrics

Ona wamefanikiwa kututenganisha mimi na wewee
Yote ulioambiwa yamekupotosha mpaka sasa hunipendi
Jua langu limepotea naona giza ingawa mchana aah
Ukiwa mbali sijazoea, my sweetie Stella mum nataka urudi home
Mapenzi ya kolekolelaa, nimechorea nipe chance nirudi kwako
Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home
Moyoni mwako ee, mikononi mwako ee eheh, moyoni mwako ee nifungulie rohoo
Moyoni mwako ee, mikononi mwako ee eheh, moyoni mwako ee nifungulie rohoo
Moyoni mwako ee nifungulie roho
Moyoni mwako ee nifungulie roho
Mbona hukutosheka, kila ulipewa ulisema ni kidogoo
Mwelakevyo lahhye ndo maana sielewi mbona you are leaving me alone
Nimejaribu kukuelezeaa, ila unasema nasema tu uwongoo
Aloniroga naomba tuongee sasa my sweetie Stella mum nataka urudi home
Mapenzi ya kolekolelaa nimechorea nipe chance nirudi kwakoo
Tukiwatch telenovelas zinanichocha natamani urudi home
Moyoni mwako ee, mikononi mwako ee eheh, moyoni mwako ee nifungulie roho
Moyoni mwako ee, mikononi mwako ee eheh, moyoni mwako ee nifungulie roho
Moyoni mwako ee nifungulie roho
Moyoni mwako ee, mikononi mwako ee eheh
Moyoni mwako ee nifungulie roho
Written by: Bensoul, Jean-pierre Nimbona
instagramSharePathic_arrow_out