Lyrics

[Verse 1]
Vile ninavyoona
Vile ninavyohisi
Uskae kama mtu
Anaficha hisia
[Verse 2]
Huwezi kuficha moto moshi ikitokea
Ukificha mapenzi wee unaumia ndani, ndani
Nashindwa kuelewa
Hii ni mwenendo gani
[Chorus]
Taratibu ni vema lakini isiwe kunirusha inje
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani, ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu (Ingawa mbali)
Kwetu (Huko ni nyumbani)
Kwetu (Ntakubeba kwetu)
[Verse 3]
Taratibu ni vema
Lakini kusiwe mwengine
Nielezee kwa nini wee una hofu na mimi
Nakupenda, I love you, je t'aime
[Verse 4]
Hakika tazama uso wangu
Nimekumbwa na mzozo wa kiumapenzi
Natangaza wazi (Eeh) hadharani (Eeh)
Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona
[Chorus]
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani, ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu (Ingawa mbali)
Kwetu (Huko ni nyumbani)
Kwetu (Ntakubeba kwetu)
[Chorus]
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani, ndani
Nishike mkononi twende mbali
[Refrain]
Kwetu (Ingawa mbali)
Kwetu ntakubeba kwetu
[PreChorus]
Natangaza wazi (Eeh) kwa TV (Eeh)
Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona
[Chorus]
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani, ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu (Ingawa mbali)
Kwetu (Huko ni nyumbani)
Kwetu, ntakubeba kwetu
[Chorus]
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani, ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu (Ingawa mbali)
Kwetu (Huko ni nyumbani)
Kwetu (Ntakubeba kwetu)
[Outro]
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani, ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu, kwetu
Written by: Jean-pierre Nimbona, Kidum Kibido
instagramSharePathic_arrow_out