Lyrics

Ooooohh... hhhoooo... hhhhoooo
Juliana wee sijui nianzie wapi
Lakini kuna jambo nataka kukueleza
Yule bwana eeehh mm na yeye tunahadithi na yeye
Hucheza ule mchezo wa pata potea (do you remember)
Mm na ww ni marafiki toka zamanii
Siwezi kukudangaanyaa,nia yangu kukulinda tokana na mwizii
Mwizi wa mapeenzii
Mpita njiaa mpitaa njiaa
Asante yake mateke kwalo hatokaa milele
Mpita njiaa, mpita njiiia
Kesho atapata mwingine kukuaga alivyoniaga
Pilipilii usioilaa yakuwashua ninini
Bahati yangu sio yakoo hilo juaa
Written by: Alice Zeluji Niyonsaba
instagramSharePathic_arrow_out