Lyrics

[Verse 1]
Penzi
Penzi
Penzi wewe, penzi wewe, penzi wewe
Penzi wewe, penzi wewe eeh
[Verse 2]
Nieleze vipi mimi ntaeza kuishi bila wewe
Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe
Kama ni ukweli yale naskia kwa majirani
Ya kwamba utakuja kwenda zako
[Verse 3]
Uliniahidi tutakuwa tukijadiliana
Kwa swali yangeleta utata
Kwa nini chini chini
Unanificha yanayo kusinya
Lakini unayasema kwa majirani
Kwa nini kando kando
Unanificha yanayo kuudhi
Lakini unayateta kwa marafiki
[PreChorus]
Ukiniacha mi ntalia
Ukienda zako ntabaki naumia
Kama ungelijua
Uoga ninao wa kukupoteza ndio nasema
[Chorus]
Baby! Nakuomba please baki nami
Nasema penzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Juliana we (Juliana we!)
[Verse 4]
Watu wanasema kama karibuni wewe unaoa tena
Na kwamba nianze kujipanga
Si ukweli, nimekataa
Ni tahadhari kubwa kwangu
Na unanitisha sijue nimekosea wapi
Uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani
Ni muhimu kiliweka wazi
[Verse 5]
Ni kuki shenge
Uguma buri gihe umbabaza
Kandi uzi ko ngukunda
Nanje ndagukunda yoo
Ni kuki rukundo
Uguma untera umujinya
Ukica amatwi ngukunda ah
[PreChorus]
Ukiniacha mi ntalia!
Ukienda zako ntabaki naumia!
Kama ungelijua
Uoga ninao wa kukupoteza ndio nasema
[Chorus]
Baby! Nakuomba please baki nami
(Penzi, penzi wangu)
Nasema penzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena
(Ooh)
Baby, baby
Tunayo nafasi ya kujikosoa
(Uuh)
Haturudi nyuma kamwe
(Hayayaya)
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Nasema, nasema, nasema
[Chorus]
(Baby!) Nakuomba please baki nami
(Baby Please!) Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena
(Tunayo nafasi eeh)
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma
Twasonga mbele
Twasonga mbele
[Outro]
Tunayo nafasi
Twasonga mbele
Haturudi nyuma
Haturudi nyuma baby, baby, baby eeh-eeh-eeh
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Twasonga mbele (Ooh)
Written by: Kidum Kibido
instagramSharePathic_arrow_out