Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bien
Bien
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bienaime Alusa Baraza
Bienaime Alusa Baraza
Songwriter
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Composer
Joseph Mutoriah
Joseph Mutoriah
Composer
Benson Mutua Muia
Benson Mutua Muia
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Producer
Joseph Mutoriah
Joseph Mutoriah
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Kukosana na wewe, sikutarajia
Kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya
Kutengana na wewe, imenibadilisha sana
Nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazama
[PreChorus]
N'taambia nini watu, Regina? Haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tulipeana majina, leo "Baby" kesho "Tomato"
Mitandao ikaleta vitina ukawa huambiliki
Nami kichwa changu na kikavimba nikawasisemezeki
[Chorus]
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea
Hali ya binadamu duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
[Verse 2]
Densi, oh, densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy
Kesi, oh, kesi, kesi tukakubali tutapendana milele
Nyimbo, nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
Kamisi, oh, kamisi, kamisi na baika uliwacha nanusanga ndio nilale
Oh, yoyo
[PreChorus]
Tutaambia nini watu, Regina? Haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tukila bata na beer, party after party
Shetani gani alituingilia, akatuweka asanda
Hilo vito papali imenifikisha, I'll never love another na
[Chorus]
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea
Hali ya binadamu duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
[Chorus]
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea
Hali ya binadamu duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
Written by: Benson Mutua Muia, Bienaime Alusa Baraza, Joseph Mutoriah, Polycarp Ochieng Otieno
instagramSharePathic_arrow_out